Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Uzuri wa hii vita IRGC hawatajificha kwa raia kama walivyokuwa wanafanya Hamas hivyo baada ya anga la Iran kutawaliwa kama week ijayo kama wanavyodai Marekan basi tutarajie maafa makubwa.

Na kuna uwezekano wakawa wanapiga kutoka angani huku ground wakaunda vikundi na kuvipa slaa na fedha viwe vinaendeleza mapambano. Marekan wa Israel wana fitina nyingi mno.
Jeshi la Kiislam wamejenga ngome zao kwenye shule za watoto

juu shule chini kambi ya kigaidi ndio maana mchana Israel ilishambulia shule baada ya kubaini hilo
 
Bora hata wewe umeelewa...
Na hii ndio strategy ya Iran, sasa yupo phase ya kuchosha mifumo ya kulinda anga na kumaliza interceptor, halafu kipigo kinaanza.
Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.

Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
 
Netanyahu baada ya wanajeshi kufa, anatoka shimoni na kuwapa pole akiwaambia vijana pambaneni sana, huku toto lake lipo USA linakula maisha na warembo na marafiki zake, yaani hayo majamaa ni majinga kweli.
Sasa wewe unataka umlaum benja nyau kwa lipi .

sisi wayahud weusi kwetu benja ni nabii wa kizazi chetu

amejua kutupigia magaidi
 
Hawa ndio wahuni wa dunia mzee. Wakikuchangia hutoboi
Vijana wengi wavivu wakuchimbua mambo nadhani hawawajui hawa jamaa vizuri wanalishwa propaganda za wachambuzi amboa wametapakaa kila kona wanaamini. Hawajiulizi kwa nini Israel alipiga Hamas, Hezbollah, Hought, Siria na sasa kaamia Iran yaani wao hawashtuki ukiwaambia ukweli wanakutukana, acha tuone hii move. Wanakuambia vita ya siku 12 Iran alishinda ukiwauliza waliuwa kiongozi gani au wanajeshi wangapi wa Israel hawana majibu wanasema aliporomoa majengo
 
US hana silaha yeyote unique na ya kutisha..
once ile atomic bomb kwenye WWII nakubali alikuwa unique, maana hakuna nchi iliyekuwa na atomic bomb..

Hivi sasa hayo mabati ya B-2 na hizo carrier ndizo silaha pekee anaogopesha wengine..

Hivi B-2 na carrier ni silaha za kutisha mtu nyakati hizi za sasa za teknolojia imekua hivi?

Carrier ni ferry iliyochangamka...
Ww unamatatizo ya akili
 
Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.

Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
China wana maslahi mapana hapo, ndio maana meli zake zinaruhusiwa kupita Hormuz...
Hilo jambo linamkera sana US, na hapo CHina inasubiri tu US azame mzima, na yeye anaruka kule na Taiwan, yaani itakuwa sio poa.
 
Haya nafasi za Kazi zimetoka pro Israel mkaombe

20260304_212550.jpg

Serikali ya Marekani inaajiri mkatafute vitu vya Askari waliokufa mvitume Marekani,

Ukumbuke wamekufa Tu 6 ila still wanaajiri wengi kadri iwezekanavyo.
 
Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.

Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
Hahaaaaa….

Hii vita inaisha muda si mrefu.

Mark my words.
 
Hii kaambiwa Seneta. Pia mwanajeshi mmoja mtaafu wa Russia anasema wachina wako Iran wanatest hypersonic zao walizowapa
Inasemekana hypersonic za Iranla people like lðp nyingi bado hazijaingizwa kazini.

Hii vita ukitegemea media ni nyepesi sana ila kiukweli US asipofanya namna chapchap inaweza kuwa WW3
Niliona 100 others ameandika kesho USA pentagon na bunge wanafanya uamuzi wa kuendelea au kutokuendelea na vita

Hi imekaaje wakuu
 
Vijana wengi wavivu wakuchimbua mambo nadhani hawawajui hawa jamaa vizuri wanalishwa propaganda za wachambuzi amboa wametapakaa kila kona wanaamini. Hawajiulizi kwa nini Israel alipiga Hamas, Hezbollah, Hought, Siria na sasa kaamia Iran yaani wao hawashtuki ukiwaambia ukweli wanakutukana, acha tuone hii move. Wanakuambia vita ya siku 12 Iran alishinda ukiwauliza waliuwa kiongozi gani au wanajeshi wangapi wa Israel hawana majibu wanasema aliporomoa majengo
Pakistan na Uturuki wanahisi kama Iran ikishindwa basi nao watakuwa wanesogelewa na hawa wababe.
Kwanza hawafuati sheria yoyote wala hakuna wa kuwafanya chochote.

Iran walisema wakichokozwa wamejiandaa kwa offensive leo Rais wao anasema wako bize wanajidefend. Vita na hawa wakuu sio mchezo hata kama unawapiga ina ni mabingwa wa fitna na zengwe lazima wakushinde utake usitake
 
Kushinda vita ni kutimiza malengo yaliyokufanya uingie vitani.

Malengo ya vita ya Israel ilikuwa regime change, na kuangamiza mpango wa nuclear wa Iran. Hawakufanikiwa yote.

Pia wao ndio wakawa wa kwanza kuomba cease-fire, unaelewa kwamba Iran ndiye alimshambulia Israel kwa mara ya mwisho? Israel ikatulia na aibu juu, sasa wana hasira, chuki na vinyongo baada ya kuchekwa.

Unafikiri kuua makamanda wa jeshi ndio kushinda vita? kwanza US walidanganya Iran wana mazungumzo halafu wakawavamia ghafla, viongozi wa Iran wa jeshi wanaishi uraiani kawaida... wakauawa wengi.

Ukweli ni kwamba wengi wenu mmezoea propaganda, na hollywood movies... hamfuatilii mambo kwa undani.
 
Bora hata wewe umeelewa...
Na hii ndio strategy ya Iran, sasa yupo phase ya kuchosha mifumo ya kulinda anga na kumaliza interceptor, halafu kipigo kinaanza.
Mkuu usijifariji uwezo huo hana. Watu wanakaribia kutawala anga waanze kushusha mvua ya mabomu usije ukaanza kulalamika humu next week.
 
Kushinda vita ni kutimiza malengo yaliyokufanya uingie vitani.

Malengo ya vita ya Israel ilikuwa regime change, na kuangamiza mpango wa nuclear wa Iran. Hawakufanikiwa yote.

Pia wao ndio wakawa wa kwanza kuomba cease-fire, unaelewa kwamba Iran ndiye alimshambulia Israel kwa mara ya mwisho? Israel ikatulia na aibu juu, sasa wana hasira, chuki na vinyongo baada ya kuchekwa.

Unafikiri kuua makamanda wa jeshi ndio kushinda vita? kwanza US walidanganya Iran wana mazungumzo halafu wakawavamia ghafla, viongozi wa Iran wa jeshi wanaishi uraiani kawaida... wakauawa wengi.

Ukweli ni kwamba wengi wenu mmezoea propaganda, na hollywood movies... hamfuatilii mambo kwa undani.
Acha maneno wewe yaani mtu aje akushambulie na kukuulia viongozi wako wewe kisha akuambie tuache kupigana na wewe ukubali na hujauwa hata kiongozi wao mmoja huu si utani embu tumia common sense mkuu wewe ungekubali?
 
Pakistan na Uturuki wanahisi kama Iran ikishindwa basi nao watakuwa wanesogelewa na hawa wababe.
Kwanza hawafuati sheria yoyote wala hakuna wa kuwafanya chochote.

Iran walisema wakichokozwa wamejiandaa kwa offensive leo Rais wao anasema wako bize wanajidefend. Vita na hawa wakuu sio mchezo hata kama unawapiga ina ni mabingwa wa fitna na zengwe lazima wakushinde utake usitake
Wengi wanajua sema ndio ni chuki tu zinawasumbua. Yaani mtu anauwezo wa kukutrack popote ulipo unawezaje kumkwepa. Na leo Israel wamesema huyu Ayotallah mpya waliomchagua akae chonjo maana wameshamuweka kwenye rada.
 
Back
Top Bottom