Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Taarifa ya nchi ya Azerbaijan baada ya Iran kurusha drone eneo la uwanja wa ndege
20260305_120141.png
 
Iran kapigwa na wayahudi kawa kichaa anampiga hata jirani yake sasa hivi hakuna jirani yake ambaye hajampiga hizo ni ishara za kuonyesha wazi yuko karibu kukata moto!!
Jiandae nawewe kutandikwa risasi ya kwenye misaburi yako hiyo!
 
Jamaa una mbwembwe wewe!hizo mbwembwe mwenyewe unajiona ushakuwa myahudi hapo! Kwamba mipango yote unaijua! Sipati picha hapo kitaa kwenu unavyojitutumua kuwalisha matango pori
😄😄
 
US alituma Aircraft Carrier 2 na kabla ya hizo na baada ya hizo ndege za mizigo ya kijeshi zilienda vya kutosha middle east.

Bado kuna kisiwa cha Diego Garcia na mbaya zaidi kwa Iran ni kwamba Israel haipo mbali, so uwesekano wa US kuishiwa silaha ni kama mzaha tu.
Ni uongo kufikiri kuwa Israel au Marekani wamemaliza silaha. Hawa watu walishajiandaa siku nyingi na mipango yao ikakamilika.

Marekani si wajinga kama iran
 
Back
Top Bottom