Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Usiku
Kuhusu nuclear hata Israel hawezi kujaribu kwa sasa maana madhara yake sio kwa irani pekee ni middle east nzima na hapo haijulikani Iran wata retaliate vip sababu hatuna uhakika 100% kwamba na wao hawana hilo bomu maana jamaa ni wasiri sana kuhusu uwezo wa jeshi Lao ndio maana Netanyahu alitaka Irani wakaguliwe siraha zao za kijeshi.
Iran hawana Nuclear
 
🚨 The Iraqi Resistance reports targeting a base belonging to the US occupation in Erbil. The US occupation consulate in Erbil issued a security alert following the strike, advising personnel to move away from windows.

Drone strikes have been also been reported targeting sites associated with Kurdish opposition groups in the Sulaymaniyah governorate southeast of Erbil, with direct hits documented
 

Attachments

  • VID_20260305_025221_784.mp4
    355.7 KB
  • VID_20260305_025218_566.mp4
    266.9 KB
Busu la Kenge muite anko wako mki chafue.
FB_IMG_17726385821634829.jpg
 
🚨 The Iraqi Resistance reports targeting a base belonging to the US occupation in Erbil. The US occupation consulate in Erbil issued a security alert following the strike, advising personnel to move away from windows.

Drone strikes have been also been reported targeting sites associated with Kurdish opposition groups in the Sulaymaniyah governorate southeast of Erbil, with direct hits documented
 

Attachments

  • VID_20260305_025209_017.mp4
    311 KB
  • VID_20260305_025213_632.mp4
    220.8 KB
  • VID_20260305_025216_434.mp4
    1.2 MB
  • VID_20260305_025206_519.mp4
    4.5 MB
  • VID_20260305_025209_017.mp4
    311 KB
  • VID_20260305_025211_061.mp4
    255.3 KB
  • VID_20260305_025213_632.mp4
    220.8 KB
  • VID_20260305_025216_434.mp4
    1.2 MB
Hapo Israel inaweza rusha nuclear..
Iran apige bunge la Israel, makao makuu, nyumba ya Netanyahu na viongozi wenzake..

Apige meli za US zote..
Kuna dstroyer wameilenga ya US...

A trace na hizo ndege zinapotokea atandike
Unadhani Iran hatamani kufanya hayo yote? Hana huo uwezo sasa
 
🇮🇷 Spokesman for the Khatim Al-Anbiya Headquarters of the Iranian Armed Forces:
—
The brave sons of the Iranian nation in the armed forces, on the fifth day since the beginning of the joint American-zionist aggression against the Islamic homeland, have carried out powerful and prideful operations, delivering heavy and lethal blows to the enemy's positions and strategic equipment.

The 17th wave of Operation 'True Promise 4' was launched with the holy code 'Ya Rasool Allah.' Over 40 missiles from the IRGC Aerospace Force were fired at American-zionist targets, destroying bases and equipment. Additionally, 10 hostile drones—Hermes and MQ-9 types—were intercepted in various parts of the country by advanced IRGC and Army air defense systems under the integrated air defense network. An FPS-132 radar system belonging to the American-zionist enemy was also targeted by the IRGC Navy.


Today, drone attacks were also launched against American bases in Kuwait and Bahrain, as well as specified targets within the occupied territories. Furthermore, IRGC ground missile units successfully targeted bases of counter-revolutionary groups with three missiles, resulting in casualties among terrorists.

The 18th wave of Operation 'True Promise 4' has begun under the code 'Ya Imam Hassan al-Mujtaba.' We remind the arrogant enemy: the movements of American soldiers in Qatar and Bahrain, and their use of non-military facilities in Persian Gulf countries, are not hidden from us. No amount of air defense systems will help them.

To the American-zionist aggressors: the sacred defense and multi-layered operations of the Islamic Republic of Iran's armed forces will continue with even greater power. Your continued mischief will lead to the total collapse of military and economic infrastructure in the region.
 
Toka jana jioni Wana wa Israel walikuwa wamechafukwa walikuwa wanashusha kipigo cha mbwa koko huko Tehran na miji inayozunguka Tehran wanawinda wapi walipo IRGC na vifaa vyao na majengo yao.

Wale mnaotegemea Iran atashinda hii vita mnajidanganya sana angalia Iran inavyotikiswa na Mabomu!!!

Na wasipoangalia Tehran itakuwa Gaza itajaa vifusi tu!!!
Wana wa Israel Oyeeee
 

Attachments

  • IMG_20260304_220752_247.jpg
    IMG_20260304_220752_247.jpg
    170.8 KB · Views: 11
  • IMG_20260304_220752_338.jpg
    IMG_20260304_220752_338.jpg
    182.3 KB · Views: 16
  • 🚨_HOLY_SMOKES_Look_at_Tehran,_it's_getting_HAMMERED_by_the_US_and.mp4
    3.4 MB
  • Tehran–Karaj highway today 👇.mp4
    933.1 KB
  • BREAKING- Massive strikes hit Iran. Trump was not kidding..mp4
    1.4 MB
  • VID_20260305_024420_291.mp4
    935.4 KB
🚨TAARIFA: Jeshi la IDF imetaarifu umma shambulio la kombora la Iran linalokuja!!
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari Israel imebrock video ,yaani unaambiwa kwa sasa video zinazo husiana na mashambulizi ya Iran na Hezbollah nchini Israel ukizipost zina goma na hata ikifanikiwa kupanda inafutwa ndani ya sekunde chache sana jambo linalo fanya iwe ngumu sana kujua matukio yanayo endelea ndani ya Israel.
 
Kwa mujibu wa vyombo vya habari Israel imebrock video ,yaani unaambiwa kwa sasa video zinazo husiana na mashambulizi ya Iran na Hezbollah nchini Israel ukizipost zina goma na hata ikifanikiwa kupanda inafutwa ndani ya sekunde chache sana jambo linalo fanya iwe ngumu sana kujua matukio yanayo endelea ndani ya Israel.
Hapo ndo ujue vita si mabomu tu. Vita ni propaganda pia.

Si ajabu Iran inasababisha madhara makubwa sana ndani ya Israel na Israel haitaki dunia ijue.

Wanataka kuonyesha ‘mafanikio’ yao tu ili kujenga taswira kwamba wanashinda vita bila kupata madhara makubwa/ mengi.

Yaani ni mambo ya uongo uongo tu.
 
Back
Top Bottom