Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel inamaliza hadi maeneo ya Propaganda
Huyu jamaa anatangaza kwa huzuni sana.
20260305_130527.jpg
 
Mkuu Israel na Marekani wanaendelea kupewa kichapo na Iran, sema wao wapo vizuri kwenye kuzuia taarifa za ukweli na kutoa habari za uongo ili ionekane hawajapata madhara makubwa kwenye hii vita. Ndio maana serikali ya Israel imeajili watu kwa kazi hiyo kama umemsoma matunduizi kwenye post yake ya 4,094 utaelewa mini namaanisha hapa
Wana tupanga sana 😄😄
 

Attachments

  • Screenshot_20260305-125516~2.jpg
    Screenshot_20260305-125516~2.jpg
    83.6 KB · Views: 23
IRGC wamekataa mpaka Israel wanyooke..

Huu uongo tumetoka kuambiwa na shekhe leo kuwa tuendelee kuwapambania wenzetu kwa stories kama hizo. Wakati kiuhalisia hali ya wenzetu Iran ni mbaya. Mpaka leo naumia Khayatollah kuuawa kama panya. Inaumiza sana moyo. Na makamanda kibao wameenda naye. Sisi huku tunashabikia kama simba na yanga. Hawa waisrael sasa inatosha dunia iingilie.
 
Iran has threatened to strike Dimona if the US and Israel seek regime change.
NB: Iran kaanza maneno ya kwenye khanga,kuua kwa Ayatollah ni red line tosha,wapige wanapoweza.

Hawa wandengereko hata kiingereza hawajui. Tunafanya vita kama simba na yanga.
 
📹 BEFORE & AFTER: Azadi football stadium in Tehran

This architectural masterpiece was almost completely destroyed in US-Israeli strikes.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_133112_Telegram.jpg
    Screenshot_20260305_133112_Telegram.jpg
    83.5 KB · Views: 21
  • VID_20260305_133100_724.mp4
    1.9 MB
Kwa hiyo wewe sasa umeanza Propaganda maana hujasema chombo cha habari kipi.

Haya maneno ya kusema ** Kwa mjibu** ni uongo na kama una uhakika wa chombo hicho tuwekee hapa na sisi tukione kinyume chake utakuwa unatulisha Matango pori

Hakuna ugumu wowote kupata habari Israel habari zinatoka kama kawaida shida yenu mnataka Israel ipigwe na Iran anaposhindwa ninyi mnalazimisha amepigwe wakati hakupigwa na mko tayari kuokota za video za AI ili tu Israel aonekane amepigwa.

Mme set mind zenu Israel atapigwa nami nawaomba hapigwi mtu hapo Iran ndiyo anapigika sana, Mliaminishwa kuwa Israel hawezi kuivamia Iran haya sasa yametimia na kazi mnaiona Gaidi Ayatollah Ali Khamenei hatuko naye!!! Tafuta I visingizio vingine kuficha aibu yenu!!
Kaka usiweke chumvi kwenye kidonda.. bado tunaomboleza kifo cha Khayatolla na makamanda. Hali yetu mbaya
 
Back
Top Bottom