Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mkuu mbona Israel na marekani wote wanatoa taarifa za vifo. Marekani wametoa taarifa hizo na tumeziweka sana humu za wanajeshi waliokufa, wamewasafirisha kwenye ndege yote imeonyeshwa hadi walivyopokelewa. Makombora yametua srael na kupiga mbona huwa wanatoa taarifa na kutaja idadi ya majeruhi au vifo

Mkuu kwa hiyo Iran wakizima internet Ina faida sababu ya usalama wao, je marekani au Israel nao wakizima internet inakua haina faida kwa usalama wao?

Mkuu kwa hiyo unakubali iran kuzimwa internet ni sahihi sababu kuzuia misinformation. Hizo misinformation haziwezi kuwepo kwa upande wa marekani au Israel?

Mkuu ingezimwa internet kwingine ungesema ni uminywaji wa taarifa

Mkuu mbona marekani wametoa taarifa za vifo vya Askari vilivyotokea. Au ilibidi watoe vipi?
Mbona athari zinatangazwa? Netanyahu alienda live kutembelea maeneo yalivyoshambuliwa akiwa live na wakaonyesha athari zilizotokea? Au mkuu inabidi watangaze vipi?
Hapa Netanyahu alikua kwenye sehemu iliyopata athari baada ya kupigwa na makombora
View attachment 3552897
Mbona unatupanga mkuu , waandishi wa habari wa USA Leo wame wauliza Gorvement Yao kwanini wanaficha idadi ya vifo wewe Huku unatuambia USA hawafichi idadi ya vifo

Mkuu wewe na Waandishi wa habari wa USA ni yupi anayepaswa kusikilizwa !??

Humu mbona mnatupanga sana ??
 

Attachments

  • Screenshot_20260305-125516~2.jpg
    Screenshot_20260305-125516~2.jpg
    83.6 KB · Views: 19
Kwasasa Israel imeweka udhibiti mkali sana dhidi ya usambazaji wa habari juu ya madhara na baadhi ya mitandao imekuwa ikizifuta video zinazo postiwa kwa hiyo kwa sasa tuko gizani.
Hili la kuzuia habari hasa kwa mitandao nalikataa, serikali hupambana nalo lakini hushindwa. Habari zitatoka tu. Unataka kusema kwenye kambi za marekani kule uarabuni, wale waarabu wote wamezuiliwa kuchukua matukio kama walivyokua wakichukua?

Iran wamezima internet kwa siku ya 5 leo, lakini bado watu wanachukua video na kutuma.

Serikali haiwezi kupambana na internet. Jamii forum hii imefungiwa ni makosa kuitumia lakini Mimi na wewe tunaitumia
 
Mbona unatupanga mkuu , waandishi wa habari wa USA Leo wame wauliza Gorvement Yao kwanini wanaficha idadi ya vifo wewe Huku unatuambia USA hawafichi idadi ya vifo

Mkuu wewe na Waandishi wa habari wa USA ni yupi anayepaswa kusikilizwa !??

Humu mbona mnatupanga sana ??
Mkuu umenishambuklia bila sababu. Wanajeshi 6 waliokufa Kuwait serikali ya marekani haikutoa taarifa??

Au hapa tunabishania idadi? Kuwa wanatoa idadi lakini pungufu au hawatoi kabisa? Tuanzie hapo maana pengine sijaelewa concern yako
 
🚨 Iranian drones in Azerbaijan: false flag provocation?

🇮🇱🇦🇿 We all know Azerbaijan's Aliyev one of Netanyahu’s closest allies (or more like his puppet). But for Israel, Azerbaijanis look like just the next batch of cannon fodder.

During the 12-day war in June, Tehran raised serious concerns that Israel was using Azerbaijani airspace to launch and coordinate attacks. Media reports speculated that Israeli jets and drones entered Iran via the Caspian Sea, relying on Azerbaijani territory for maneuvers and mid-air refueling.

📍Why the Caspian route makes sense:

🌏 The distance from Azerbaijan’s Caspian coast to central Tehran is only ~100 km

🌏 Israeli aircraft could launch standoff missiles over the sea without crossing Iran’s heavily defended western border

🌏 This explains some of the deeper strikes, like the one that hit the IRIB state broadcaster building in Tehran

This goes deeper: media reports say Mossad set up a base in Azerbaijan to monitor Iran and even prepare for strikes on nuclear facilities.

In exchange, Baku received billions in Israeli weapons.

In late January, Israel's Foreign Minister Gideon Sa'ar visited Baku for high-level talks, and in February 2026, Israel and Azerbaijan signed a new memorandum on AI cooperation — another layer in their deepening military-technological alliance.

If Aliyev jumps into this war, the price to pay will be unbearable: Iran would simply wipe out every single Azerbaijani asset in the Caspian Sea.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_151440_Telegram.jpg
    Screenshot_20260305_151440_Telegram.jpg
    72.7 KB · Views: 15
Mkuu umenishambuklia bila sababu. Wanajeshi 6 waliokufa Kuwait serikali ya marekani haikutoa taarifa??

Au hapa tunabishania idadi? Kuwa wanatoa idadi lakini pungufu au hawatoi kabisa? Tuanzie hapo maana pengine sijaelewa concern yako
Hawatoi idadi kamili mpaka Waandishi wa habari wa Taifa lao wana wasema
 
Hawatoi idadi kamili mpaka Waandishi wa habari wa Taifa lao wana wasema
Hapo nimekulewa kwa hiyo wanatangaza Ila si kwa idadi halisi.
Huyo niliyemjibu yeye alisema kwa nini marekani hawatangazi vifo. Hiko ndio nilichokikataa

Angesema marekani wanatangaza vifo Ila ana wasiwasi na idadi halisi hapo sidhani kama ningemkatalia.
Lakini pia na yeye sababu Ni pro Iran ningemuuliza je Iran inatoa idadi halisi?
 
Mkuu mbona Israel na marekani wote wanatoa taarifa za vifo. Marekani wametoa taarifa hizo na tumeziweka sana humu za wanajeshi waliokufa, wamewasafirisha kwenye ndege yote imeonyeshwa hadi walivyopokelewa. Makombora yametua srael na kupiga mbona huwa wanatoa taarifa na kutaja idadi ya majeruhi au vifo

Mkuu kwa hiyo Iran wakizima internet Ina faida sababu ya usalama wao, je marekani au Israel nao wakizima internet inakua haina faida kwa usalama wao?

Mkuu kwa hiyo unakubali iran kuzimwa internet ni sahihi sababu kuzuia misinformation. Hizo misinformation haziwezi kuwepo kwa upande wa marekani au Israel?

Mkuu ingezimwa internet kwingine ungesema ni uminywaji wa taarifa

Mkuu mbona marekani wametoa taarifa za vifo vya Askari vilivyotokea. Au ilibidi watoe vipi?
Mbona athari zinatangazwa? Netanyahu alienda live kutembelea maeneo yalivyoshambuliwa akiwa live na wakaonyesha athari zilizotokea? Au mkuu inabidi watangaze vipi?
Hapa Netanyahu alikua kwenye sehemu iliyopata athari baada ya kupigwa na makombora
View attachment 3552897
Mkuu hili suala usione nimeleta humu jf kwa kukulupuka bali limekua discussed mno kwa sasa kwenyemitandao mingi ya kijamii. Na usichokijua wew ni kwamba Israel na Marekani wanatoa taarifa ambazo wanataka wew ujue. Ndioo maana ukimsoma mkuu matunduizi post ya 4,094 utaelewa kwanini wanapika taarifa hasa Israel.

Kingine waandishi wa habari wa USA Leo wame wauliza serikali Yao kwanini wanaficha idadi ya vifo. Utasema na wao hawafahamu kwamba hawaoni hizo picha na video za mitandaoni. Au unaona wao ni childish wasioweza kung'amua ukweli na uongo na kushindwa kutambua kama kuna uminywaji wa taarifa kuhusu ripoti ya vifo. Hivyo mkuu mjadala huu uishie hapa na tusipotezeana mda, kila mtu aendelee kuamini kile anachokijua.
 
Mkuu hili suala usione nimeleta humu jf kwa kukulupuka bali limekua discussed mno kwa sasa kwenyemitandao mingi ya kijamii. Na usichokijua wew ni kwamba Israel na Marekani wanatoa taarifa ambazo wanataka wew ujue. Ndioo maana ukimsoma mkuu @matunduizi post ya 4,094 utaelewa kwanini wanapika taarifa hasa Israel.
Mkuu hivi kwa mazingira ya kawaida unafikiri nchi itatoa taarifa ambazo zitawapa mwanya adui zake? Lazima zitatoa taarifa nzuri kuhusu wao.
Hivi unategemea marekani watassma tunapigwa sana tunashindwa? Au unafikiri Iran inaweza kusema tunapigwa sana tunashindwa?
Kingine waandishi wa habari wa USA Leo wame wauliza serikali Yao kwanini wanaficha idadi ya vifo. Utasema na wao hawafahamu kwamba hawaoni hizo picha na video za mitandaoni. Au unaona wao ni childish wasioweza kung'amua ukweli na uongo na kushindwa kutambua kama kuna uminywaji wa taarifa kuhusu ripoti ya vifo. Hivyo mkuu mjadala huu uishie hapa na tusipotezeana mda, kila mtu aendelee kuamini kile anachokijua.
Mkuu nilichobisha kilikua wewe kusema thawatoi taarifa, lakini Sasa tupo kwenye issue ya idadi kama halisi au sio halisi. Nikuulize swali mkuu: wewe ni pro Iran, je Iran wanatoa idadi halisi?
 
Wanazuia opportunity ya kufanya propaganda
Sasa hao raia mnao tegemea wawaunge mkono ili kuutoa utawala msio upenda alafu wakati huo manashambulia miundo mbinu ya kiraia huoni kuwa ndo mnawapa serikali nafasi ya kufanya propaganda?
 
Sasa hivi taarifa zimekuwa censored, algorithm kwenye YouTube na social media platforms nyingine kwenye hii vita ni nyingi, hasa zanye damage za West
 
Kwasasa Israel imeweka udhibiti mkali sana dhidi ya usambazaji wa habari juu ya madhara na baadhi ya mitandao imekuwa ikizifuta video zinazo postiwa kwa hiyo kwa sasa tuko gizani.
Pro Iran mwenzako kauliza mbona Iran kapunguza mashambulizi mapema sana hata kuliko ile vita ya siku 12?
 
Mkuu hivi kwa mazingira ya kawaida unafikiri nchi itatoa taarifa ambazo zitawapa mwanya adui zake? Lazima zitatoa taarifa nzuri kuhusu wao.
Hivi unategemea marekani watassma tunapigwa sana tunashindwa? Au unafikiri Iran inaweza kusema tunapigwa sana tunashindwa?

Mkuu nilichobisha kilikua wewe kusema thawatoi taarifa, lakini Sasa tupo kwenye issue ya idadi kama halisi au sio halisi. Nikuulize swali mkuu: wewe ni pro Iran, je Iran wanatoa idadi halisi?
Akikujibu nijulishe nimeenda soko I kununua mihogo kwa ajili ya futari jioni!!
 
Back
Top Bottom