MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Huu Uzi nachekaš,Hao askari wa USA washaanza kupunguzwa na Iraq hizbollah.
Hadi wafike Iran washachoka na kudebweda.
Uzi unahuzunisha na kuchekesha.
Huu Uzi nachekaš,Hao askari wa USA washaanza kupunguzwa na Iraq hizbollah.
Hadi wafike Iran washachoka na kudebweda.
There is a reason kwanini viongozi wengi wa Iran Wana mtaunt Trump aje Asindikize oil tanker tena, Lincolin na Chawa wake walitaka Ku attempt kupita hapo Hormuz, ikapigwa Coast ya Oman kama km 300 toka Iran, ikakimbilia maji marefu sasa hivi ipo km zaidi ya 1000 toka Iran, zile Meli wasindikizaji ndio zitakuwa zimeliwa kichwa mazima.Picha za satellite zimeonesha meli mbili za Marekani zikiwaka moto wenda madai ya Iran kuzishamulia meli ya kivita ya Marekani iliyo yatoa juzi ni ya kweli.
Mm pia nilitokea kumkubali sana Kipindi Cha kampeni kile, baada ya kuona upumbavu wake nimemuona ni hamnazo nadhani huyu ndiyo the worst president ambaye Marekani imebahatika Kuwa naye.Trump ni mwehu..
Amepoteza sana ushawishi, ndio maana unaona hata huyo rais wa Spain anamuona kama mjinga, na huyo wa Spain hajataka kuwa mnafiki, kamchana makavu, maana viongozi wengi hata wa EU wanaogopa.
Hata mimi mwenyewe Trump nimemuona kumbe ni zee flani lis3ng3 tu.. akili hakuna.. ukiona mtu anakujibu hivyo ujue amesha kudharau... mwanzoni nilimkubali lakini hivi sasa namuona ni lijinga tu..
Hii siyo kweli mkuu, tuweni wenye huruma jamani tuihurumie IranInafutwa soon! Mashoga mtafute pakwenda kufanyia mikutano
Israel anajitahidi kuiaminisha dunia wapo sawa..Israel nao waliambiwa waendelee na mishe zao,,mara king'ora Cha tahadhali kikaimbaš
Wakurd walikubali kutumika na CIA na Mossad walijaribu kuvamia Iran kwa kificho ,wamechezea kichapo Cha Karne.Waziri wa mambo ya nje Israel anasema Kurds wanaweza kutumika kukabili uongozi wa Iran.
Kurds na wao wanasema , achaneni na sisi, sisi sio bunduki za kukodi.š¤£š¤£š¤£
Waziri naona anawapamba kweli kweli eti waingie vitani wakafe kwa sababu ya Israel...
Halafu hapo tuelewe kwamba walishasema hao Kurds ni terror group.. sasa wanawabembeleza... Kurds na wao wamekataa.
View attachment 3553266
Asubiri kununua mafuta kwa bei halali ya soko,maana alikuwa ananunua mafuta kwa bei ya black market below market prices Iran na Venezuela hili hata Russia lilikuwa linamkera ndio maana Russia pia kakaa kimya Iran na Venezuela ziende kwa US.China akiipoteza Iran ndio basi tena
Endelea kupiga mbinjoIsrael anajitahidi kuiaminisha dunia wapo sawa..
Lakini kiuhalisia hizo ni kauli tu, hakuna anayejielewa atoke nje an relax.. labda kufungua supermarkets baadhi kwa mahitaji ya muhimu then shimoni kama kawaida...
Mbona mchana huu wametangaza kukataa kujihusisha na vita!?Wakurd walikubali kutumika na CIA na Mossad walijaribu kuvamia Iran kwa kificho ,wamechezea kichapo Cha Karne.
Kwanini madam!?Huu Uzi nachekaš,
Uzi unahuzunisha na kuchekesha.
Ndicho hiko nawaambia hapa..Endelea kupiga mbinjo
Trump naanza kuamini scandal zake za EPstein, maana wenzake serikalini ambao wanamkubali ukiwasikiliza kuhusu hii vita wanaongea very unprofessional... ni kama walikurupuka..Mm pia nilitokea kumkubali sana Kipindi Cha kampeni kile, baada ya kuona upumbavu wake nimemuona ni hamnazo nadhani huyu ndiyo the worst president ambaye Marekani imebahatika Kuwa naye.
Anavunja katiba ya USA anavyo taka, hafuati misingi ya kisheria kabsa.
Sasa wasipomshirikisha si atapita nae tena?Anaongea tu huyo anaropoka ajisemee Waziri wa Hispania.
Iran ina baraza la mapinduzi,huwezi wapangia kiongozi kamwe.
Hayo mambo huwa mnajuaje?There is a reason kwanini viongozi wengi wa Iran Wana mtaunt Trump aje Asindikize oil tanker tena, Lincolin na Chawa wake walitaka Ku attempt kupita hapo Hormuz, ikapigwa Coast ya Oman kama km 300 toka Iran, ikakimbilia maji marefu sasa hivi ipo km zaidi ya 1000 toka Iran, zile Meli wasindikizaji ndio zitakuwa zimeliwa kichwa mazima.
Hilo ukiwaambia pro west hawakuelewi lakini inaonesha Trump alitarajia ushindi ndani ya muda mfupi tu.US na Israel wanajiandaa kupunguza mashambulizi kwa Iran ili waendelee kuishambulia Iran kwa muda mrefu.
US hakujiandaa kwa vita ya muda mrefu.
View attachment 3553265