Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

🚫The Iranian ballistic missile fell into the ocean off Tel Aviv.
 

Attachments

  • VID_20260306_000831_135.mp4
    3.2 MB
  • VID_20260306_000828_348.mp4
    2.1 MB
  • VID_20260306_000826_598.mp4
    412 KB
Hizi ni apps za iran moja ni ya muvi nyingine ni ya kuangalia mpira na jana tu nimetoka angalia game ya united....mtandao upo haujawahi kuzimwa tupunguze propaganda kwa tusiyoyajua halafu iran wana whatsapp yao wanachat kama kawaida na kuwasiliana daily
Mkuu Hawa alJazeera wapo Tehran, wanareport mtandao kuzimwa

Hawa ni netblock. Wapi unaona ku a mtandao toka Vita ianze?
20260304_172529.jpg
 
Toka vita inaanza hapa iran mtandao haujazimwa ila apps za nje hazifanyi kazi ni IMO tu ndio inafanya kazi ila apps zao wairan zipo hewani kama kawa

Humu propaganda ni nyingi sana na mbaya zaidi siwezi bishana na kijiji cha wajuaji
 
Haya sasa, uzuri tuna mdau hapa yupo Iran , mkuu ze-dudu anasema Iran internet ipo kama kawaida..

Watu hapa ni waongo balaa..

Israel inazuia sana habari zao zisitoke..
Ni uongo mkubwa anaofanya
Hapa netblovk unauona mtandao?
20260304_172529.jpg


Tu-assume netblock ni ya mabeberu. Al Jazeera nao wanawasingizia Iran?
 
Tehran ipo mkoani huko mi nacheza pwani tu asaluyeh port bushehr port na deyyer port
Vipi maisha yapo huko? Maana sipaskii sana kama wabobgo wanapenda kwenda huko weng wanaishia uoande huu wa nchi ya UAE na Qatar
 
Back
Top Bottom