Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Yeye anasema mtandao anatumia na hadi ana stream, ina maana mtandao upo... huyu reporter wetu kwa kweli ye mwenyewe haamini habari zake..
Nilitegemea angekuja angenichallenge.
Mtandao ulikua fresh vuita ilipoanza wakauzima.
Screenshot_20260306-002358_1.jpg
 
Wazee Tel-Aviv kuna mchongo huko... msiogope kulipuliwa wanasema iron dome zipo zitawalinda.
Safari ni week ijayo.
Kama upo tayari fika ubalozi wa Israel. utapewa maelezo.

🌾 TANGAZO LA KAZI – ISRAEL (KILIMO) 🇮🇱

Kuna nafasi za kazi katika sekta ya kilimo nchini Israel.

✅ Visa ni bure
✅ Gharama za usafiri na maandalizi zinalipiwa
✅ Malazi yanatolewa
✅ Mkataba wa kazi wa miaka 1–2

Mahitaji:

  • Awe na afya njema
  • Awe tayari kufanya kazi za shambani
  • Awe na pasipoti halali
📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na namna ya kutuma maombi.
Nafasi ni chache – wahi sasa!
 
🤣🤣🤣
 
💥💥💥💥
Video footage: Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv
King faisal ITR mchana tulibishana kuwa habari Israel hazitoki wamekatazwa. Nikawaeleza huwezi kukataza wananchi wasirushe habari, watarusha tu
Hawa ni watu wapo eneo la tukio wamerecord na wanaisambaza
 
Attachments

  • 2026-03-06_00-31-08_0.mp4
    363.6 KB
Back
Top Bottom