100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Jamaa Israel ikishambulia , utasikia - "Israel na US waishambulia Iran muda huu. Mlipuko mkubwa sana" , subiri Iran ishambulie utaona "Iran waishambulia kwa makombora Israel" ....Hujajibu swali
Ila anyway mzee wa milipuko mikubwa tuko pamoja lete milipuko hiyo
Kiuhaisia ni kwamba.
Iran ndiye ana makombora yana warhead zenye explosive ya juu zaidi, 12 days war tuliona. Jamaa wakipiga moja mtaa mzima unatikisika kama tetemeko la ardhi.
Hali hii inapelekea wananchi wengi wanajificha ndani ya shelter, na wanaogopa, kikipigwa king'ora tu, wnakimbia ndani, hivyo wanaobaki nje ni wachache pengine hawapo.
Maana raia wanaogopa sana mashambulizi ya Iran.
Kingine ni serikali ya Israel kutumia police upande wa cyber, wakijua umerusha picha wanakutembelea.
Lakini Israel inapigwa sio poa, mashimo ya kutosha , majengo yamepigwa sio poa...