City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
CENTICOM: meli zaidi ya 30 za Iran tumezishambulia na kuzizamisha
CENTICOM: meli zaidi ya 30 za Iran tumezishambulia na kuzizamisha
💥💥💥💥
Trump: Tufaimaliza kwanza Iran, alafu suala la Cuba linaweza kufuatia
Huyu mzee, cuba tena kuna nini?💥💥💥💥
Trump: Tufaimaliza kwanza Iran, alafu suala la Cuba linaweza kufuatia
Umeanza kutoa mlioIran imerusha kombora la Khorramshahr-4 lenye kichwa ambacho hugawanyika katika vichwa vya Mabomu 20
Silaha hizi ni harafu na ni kinyume cha sheria
Khaa kinyume cha sheria ndio nini myahudiIran imerusha kombora la Khorramshahr-4 lenye kichwa ambacho hugawanyika katika vichwa vya Mabomu 20
Silaha hizi ni harafu na ni kinyume cha sheria
Mtanyooka tuUmeanza kutoa mlio
Soon Marekani atakimbia, maana kitakacho tokea kupanda kwa gharama za maisha kitu ambacho tayari kishatokea kule USA.Hii vita tunaweza kuwa nayo kwa muda mrefu pengine zaidi ya inavyofikirika.
Seems like the Iranians prepared for this, and more likely things aren't as anticipated by the west😄
Hii itakua safi sanaMkuu lete vitu ukiweza vya Iran potezea walete wao 😀😀😀
Mbona umemjibu swali lingine!!!!! Kataka kujua. Milipuko mikubwa ni Ya Israel tu!!!!!!!!!!😆😆😆Tumebishana humu Leo siku nzima kuwa Israel watu wamekatazwa wasirushe habari. Niliwaeleza huwezi kuzuia watu wasirecord na kurusha, haiwezekani
Kuna watu wanaumia km wao wapo Tela Aviv😂😂😂😂😂 wao wanataka tu kusikia milipo mikubwa Iran!!! !!!!!!!!!Mkuu lete vitu ukiweza vya Iran potezea walete wao 😀😀😀
Mbona umemjibu swali lingine!!!!! Kataka kujua. Milipuko mikubwa ni Ya Iran tu.
Watuoneshe picha!!!! wengine tunajua Vita ni propaganda💥💥💥💥
CENTICOM: meli zaidi ya 30 za Iran tumezishambulia na kuzizamisha
KuivamiaHuyu mzee, cuba tena kuna nini?
Umejibu kilokole hapa mkuu😃Mbona umemjibu swali lingine!!!!! Kataka kujua. Milipuko mikubwa ni Ya Israel tu!!!!!!!!!!😆😆😆
Tena vya leo ni tani 1 ndiokwanza vitu vya tani 1 vimepelekwa. Atujui wana tani zengine ngapi azijaendaIla leo naona futari haikuwa maharage na uji maanake wanatuma vyuma sio poa 😀😀