💥💥💥💥
Trump: wanatakiwa kusalimu amri au wafe. Wananchi wa Iran wachukue nchi yao
Trump kimdomo sana kajichanganya Ayatollah hakutaka kufia kitandani ndiomana hakuwa kajificha popote..
Vita yoyote
ata ile ya siku 12 kama tunakumbuka
uyu Trump alitwambia niyeye kamzuiya Netanyahu kumuua Ayatollah
na Trump akaongezea kusema ingekuwa mm ni Ayatollah nisingekaa sehemu moja muda wote!!
Sijui alitaka akajifiche ili wadai alijificha lkn CIA wamejua alipo!!!!!
Tukitumia akili zetu apo tunapata picha hii.
Kuwa Trump wkt
Wa ile Vita ya siku 12 alikuwa na taarifa za kijasusi wapi Ayatollah yupo
na waliompa taarifa wenyewe inaonekana imewashangaza kwanini uyu kiongoz kabaki sehemu moja tu wtk wote wa ile Vita tn ni Ikulu,,,
ndiomana Trump katumia neno lile. Namnukuu Trump!!
Ingekuwa mm nisingebaki sehemu moja,,
na ndio Ikulu yake rasmi.
tujikumbushe
kidogo! kiongoz mkuu na mwasisi wa Hamas marehemu Mzee Ahmed Yasin.
Kifupi uyu Ahmed kwanza alikuwa tayali mlemavu na ni Mzee sn anatumia kibaiskari cha Walemavu lkn
alipigwa kombora na kufa wkt anatoka Msikitini na Israel.
Sasa ikafichuka kuwa uyu Ahmed Yasin
kila akienda Msikitini maombi yake makuu kwa mungu wake. kwake asife kitandani afe shahidi
inamuuma kuona vijana watoto wanakufa Shahid lkn yeye anaenda kufia kitandani
hakuwa akijificha kabisa Msikitini kama kawa asubui saa11 kila siku.
Tatizo lengine lipo apa Wazungu upenda maisha sn so ukumu za kifo kwa wengine wanaona ni kumkomoa kukubwa zaid,
ndiomana umoja wa Ulaya ukapiga marufuku ukumu za Vifo kwenye mahakama zao.
Pwent yangu Ayatollah alikuwa ni mzee sn mwenye kutembea na gongo akisumbuliwa na magonjwa mbali mbali kwa wenye kuelewa yumkin Mzee alichagua kufa Shahid kitambo nyuma kidogo.
Nayeye hakupenda kufia kitandani kwa Uzee na magonjwa.,
Tukumbuke Ayatollah wa mwanzo mwasisi wa Iran ya KISLAM yeye kufia kitandani.