Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Umesahahu kuweka neno pendwa "Mlipuko ni mkubwa sana“
Umesahahu kuweka neno pendwa "Mlipuko ni mkubwa sana“
Uongo uko wp apo? fafanunua kidogo ?Uongo huu mkuu.
Huyu Mzee ni mpumbavu sanaHii comment yako ndio naiona sasa hivi. Mkuu unataka kusema wale kina maaskofu waliokua wanamkosoa magufuli Kama askofu bagonza, askofu mwamakula, askofu kakobe, askofu mwingira, askofu niwemugizi, askofu shoo wote hawa hawakuwa wakristu?
Mkuu huu ni uongo ambao upo wazi, hakuna haja ya kuongopa kwenye hili Wala kubishana na hili ni kuniongopea wewe mwenyewe. Rudia speech ya Samia baada ya wale kina mwangi kutekwa
Huu ni uongo mkuu kitima hawezi kuwa na kikundi cha utekaji. Kuwaza hivi ni kujikosea mwenyewe
Naelewa wengine ambao ni pro regime. Lakini wewe usitumie uongo kuhalalisha kuw pro regime. Haifai mkuu
Wee Mzee ni mpumbavuKwaiyo mkuu wewe una info kulko vyombo vya usalama? Ukisikia wanamtuhumu mtu kufadhili makundi ya uhalifu ujue nikweli....usimtetee huyo Keytima! Subiria ukawe wakili wake kwa Court!
View: https://x.com/clashreport/status/2029602898615607651/photo/4
moja ya watu waliofanikiwa kila kitu kwenye maisha
Mwanaume sasa huyu amejitokeza hadharani
Mapencel sio 😂😂😂Kauli ya uongo toka kuuumbwa dunia kutoka kwa magaidi wa Iran
tarehe 2 March
tunasubir tufuturu dunia itatutambua 🤣🤣🤣🤣
baada ya hapo yakaanza kurushwa mapenseli limpige yeyote 😁😁😁
Mzee ana uchungu wa kuuwawa Khomeini anataka arudishe Kwa Dr KitimaMkuu rudi kwenye sense haikupungizii kitu
Tulieni kwani Kuna shida gani kama wao Iran wamejipanga Kwa vitaVita inatarajiwa kuisha september..
Trump mwehu alikuwa anasema 4 weeks...
Ikifika september mtaambiwa 4 years.. 🤣 🤣
View attachment 3553289
Hongera mkuu naona Bado unakomaa kutetea taifa liloapa kuifuta Israel kwenye ramani ya DuniaKiongozi Iran hawana sera ya kukamata wananchi wanaorusha picha mitandaoni, Israel wana askari vitengo vya cyber wana raid nyumba ama sehemu ambapo wameona mtu anarekodi video za mashambulizi, na wanakamatwa.
Israel wana sera kali sana ya kudhibiti habari..
Iran hata kama internet imezimwa kuna internet zingine zinafanya kazi kama satellite internet...
Ndio maana unaona muandishi wa habari amelalamika , aliwewa chini ya ulinzi Israel, lakini anasema karuhusiwa na Iran kuingia ku document hio vita.
Anashangaa kwa shirika la habari ambalo ni linatokea nchi closest ally wa Israel wanazuia.
Israel pia wana vitengo vya cyber, wana uwezo wa ku filter chochote, kinachotoka na kuingia, hao ndio unasikia wana softwares kama pegasus... wanaingia hadi whatsapp...
Sasa unashangaa nini wanapominya habari?
Hawa jamaa wana roho ngumu sana aiseee.🚨🟡🟢 Hezbollah:
—
In response to the criminal "israeli" aggression that affected dozens of Lebanese cities and towns, including the southern suburb of Beirut, and after monitoring a gathering of "israeli" enemy soldiers at the Blat site at 4:55 PM today, Thursday, 05/03/2026, the Islamic Resistance fighters targeted it with a guided missile, achieving a direct hit.
Na hatutaki pooooo this time nasema mm Muiran wa Nyakato Kwimba mwisho😆😆😆😆😆🚨🇮🇷🇮🇱 Israel is burning 🥵🥵