Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

A Kuwaiti woman expresses her anger about the presence of US occupation bases in her country and throughout the region:

"We don’t want them [US] here! What does it mean they 'liberated' us through America? By invading Iraq? They took their money, they took everything they wanted. Get them out!

If we stand as one, we’ll be the greatest power in the world. Everyone will fear us!

How long will you stay silent? How long will you lock your door and say 'I’m living in safety'? Your safety won’t last.
What happened to them will happen to us.

We are one Arab people—Egypt, Iraq, Syria, Lebanon, Morocco—all of us! Just wake up! Move already! Enough! Wake up! Move a little.

It’s a disgrace what’s happening. It’s against humanity and religion. I’ll set religion aside and say we are without religion—where is our humanity? Where are they? When will they move?

Every day another 'peace summit.' What peace? There is no peace anymore! We want our rights, and that’s it!"
Hapo ndio utakapo jua kwamba mungu ni mchongo

Watu wana muabudu mungu na kum- praise lakini katika majanga mazito kama haya mungu anashindwa kuwapa msaada na bado wana endelea kumuomba


Akili za binaadamu wengine bwana 😄😄
 
Kuna picha zinasambaa wababe Delta force wako chini ya ulinzia wa IRGC. Walijaribu kuingia ground kikomando wachache wamededi wengine wote wamekamatwa wamepigishwa magoti.
Ni kweli hii au ni vita vya AI
Weka iyo picha mkuu??
 
Vita ilipofikia suala la sheria, Sijui zà kimatàifà, Sijui za wapi, Sijui za nini, hilo suala halipo. Kila mtu/nchi itatumia uwezo wake wote, na kila mbinu kumkomoa mwenzake.
Walianza US na Israel kuuà watoto WA Shule Wa Iran. Je, huko Siyo kukiuka Sheria za vità? Watoto wanamakosa gani?
Ulikuwepooooo?
 
US Kakamatwa pabaya, interceptors zinaisha kwa washirika wake, viongozi wanamuambia US apeleke interceptors, lakini zinachelewa.

US ni tapeli, alikula mikataba kulinda washirika, sasa nini maana ya kuingia mkataba na nchi fulani kuilinda.
US aindoe kambi zake ME, hakunamsaada anafanya. US ni tapeli.
View attachment 3553280
Ana kula Hela zao tu Bure , hata hivyo ni Bora washukuru hii vita ilivyo tokea imewasaidia kuweza kuujua utapeli wa USA , 😄😄😄
 
Weka iyo picha mkuu??
Nimefanya uchunguzi wangu sio kweli ni AI. Jamaa kasahau kucrop watermark ya nano banana au Gemini ai ipo kwa pembeni. Hii vita ni ya kwenda nayo pole pole ukweli na uongo umechangwanywa kwa level ya juu sana.
20260306_093808.jpg
 
Wanasema vita inaweza fika mpaka September haya ilikuwa siku wakaongeza wiki, sasa miezi siajabu ikaongezeka miaka.

Vita ni kitu cha ajabu sana hasa vita za kivamizi ni rahisi kuingia ila kutoka hua ni kimbembe.
 
Back
Top Bottom