Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Trump: wanapotaka kurusha tu makombora Happ hapo tunawapiga
Iyo ndio ndoto yake na siyeye tu kila mpinga Iran ayo ndio matamanio yake!!!!
Lkn
Iyo ingewezekana kwa Iraq Libya lkn sio kwa Iran, Iran ndio wagunduzi wa mambo mengi tu!!

Trump lazima ujutie!!
wenzio sio wajinga kutokuchokoza Iran kwa kiwango ichi angechutama tu🤫🤫🤫🤫
 
Irani imezipiga rada zote za marekani zinazo tegemewa na marekani hapo Mashariki ya kati.
Alafu wamarekani ya tukuyu wanakwambia Iran anarusha makombora hovyo bila target.
 

Attachments

  • 1772763210096.jpg
    1772763210096.jpg
    77 KB · Views: 23
Mkuu tuwaulize! Kwanini serikali haimkamati huyo Kitima? Mpaka taarifa anazijua yeye huyu mtoa comment inamaanisha ushahidi upo tena wawazi,vipi kwamba hao wahusika hawazijui hizo taarifa hadi wanamuacha tu? Huyu Kitima kila siku anasemwa kwani anaupekee gani asikamatwe na kushtakiwa kwa hizo tuhuma wanazozisema hapa kila siku? Watu waache ujinga wa kujiropokea kwa kufata mkumbo wa Shekh flani kasema.
Kwenye mazishi ya Pengo Kitima katoa nafasi kwa Rais kama ananeno atoe bado wapumbavu wakaibuka kumsema kamkosea bibi yao na washasahau RC ilishasema hamna kumpa platfom mwanasiasa kuepuka kuambiwa wanaingilia siasa. Kitima alimpa tu nafasi kwa huruma ya mama na kwa kiwango cha mahakama aseme neno..bibi yao akanuna na kusepa!😁
Unaipangia serikali? We andaa mafaili uwe advocate wake
 
Hizo video watu wanazifukunyua dark Web kwa njia za kawaida huwezi kuzipata asilani na hiyo ni sheria kabisa Imetungwa mwaka jana walipo kuwa kwenye vita ya siku 12 laniki kwenye vita ya siku 12 walilenga zaidi zaidi hasa kwenye maeneo ya kijeshi lakini kwenye vita hii inaonekana wamepanua wigo wa udhibiti.
Na mpaka sasa waandishi 2 wa CNN wako kizuizini kwa kujaribu kwenda kinyume na sheria hiyo.
Juzi kuna muandishi mmoja kutoka china anaye fanya kazi ndani ya Israel alikuwa akihojiwa na IRT ya Uturuki akawa anasema kuwa kwa sasa ndani ya Israel kuna udhibiti mkali sana wa habari hivyo ni ngumu sana kurekod video na kuzituma lakini uharibifu ni mkubwa.
Hata ukijaribu kuangalia hizi video zinaonekana zimerekodiwa kutoka mbali nje ya mji kabisa.
City Thunder OKC atakupinga
 
Kuna wachambuzi walipotea baada ya IRGC kujificha naona wamerudi baada ya IRGC kuanza tena kurusha makombora. Kichapo cha US na Israel kwa Iran kiko pale pale,warushe wasirushe missile
 
Wazee Tel-Aviv kuna mchongo huko... msiogope kulipuliwa wanasema iron dome zipo zitawalinda.
Safari ni week ijayo.
Kama upo tayari fika ubalozi wa Israel. utapewa maelezo.


🌾 TANGAZO LA KAZI – ISRAEL (KILIMO) 🇮🇱

Kuna nafasi za kazi katika sekta ya kilimo nchini Israel.
Waisraeli hawawezi kazi za kilimo?
  • Awe na afya njema
Waisraeli hawana afya njema?
  • Awe tayari kufanya kazi za shambani
Waisraeli hawawezi kufànyà kazi shambani?
  • Awe na pasipoti halali
📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na namna ya kutuma maombi.
Nafasi ni chache – wahi sasa!
Hizo Ni red flag, ukifika huko utaambiwa shika mjegeje kawalipue Wairàni.
 
Hii vita siyo ya kuisha Leo wala kesho ni mwendo wakutumiana vifurushi. Kwa video chache ninazoziona aisee vita siyo kitu kizuri sana.
Vita havifai mkuu! Nashangaa kina Kiti Imma sijui Kitimoto wanahamasisha machafuko halafu wao watukimbie watuache wajukuu zetu wanakufa......Bora tu CCM itawale lakini kuwe na AMANI! Akitoka mama Nchi apewe Abdul ili kuimarisha amani zaidi ya Nchi.
 
Silaha hizi ni harafu na ni kinyume cha sheria
Vita ilipofikia suala la sheria, Sijui zà kimatàifà, Sijui za wapi, Sijui za nini, hilo suala halipo. Kila mtu/nchi itatumia uwezo wake wote, na kila mbinu kumkomoa mwenzake.
Walianza US na Israel kuuà watoto WA Shule Wa Iran. Je, huko Siyo kukiuka Sheria za vità? Watoto wanamakosa gani?
 
Back
Top Bottom