Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Soon Marekani atakimbia, maana kitakacho tokea kupanda kwa gharama za maisha kitu ambacho tayari kishatokea kule USA.

Iran Ina advantage ya Strait of Hormuz ambapo karibia Asilimia 20 ya shughuri zote za kiuchumi zinategemea hapo... Iran amefunga hakuna meli kupita nchi nyingi mpaka Sasa zimeanza kutesekan kule USA gharama ya Gas imepanda... Lakini pia Saud Arabia maisha yamepanda coz importation & Exportation imeshuka kwa kiwango kikubwa sana.

Kwa upande mwingine USA anatumia gharama kubwa sana kupigana hiyo vita ukilinganisha na Iran... U. S. A anatumia takribani dollar zaidi ya 700M kila siku vitani, lakini mpaka Sasa hakuna matumaini ya kufikia malengo zaidi tu anapata financial crisis.

Kwa mtazamo wangu hii vita sidhani kama itamaliza huu mwezi, Marekani ataamua kurudi nyuma kunusuru uchumi wa Dunia.
Wewe unafikiri hayo yote Marekani hayajui?
 
Iran iliisaidia SA kipindi kigumu cha ubaguzi na makaburu.
Iliunga mkono pia chama cha ukombozi cha ANC.
View attachment 3553287
Pia Iran ndio wamesaidia Sudan isimalizwe na UAE hii genocide ya juzi, Sudan anasema kama kutakua na vita ya Ardhini watapeleka Jeshi Lao kusaidia Iran.

Halafu kuna watu wasiojielewa humu wanakwambia Iran ni magaidi na mabwana zao wanaolinyonya na kumwaga damu Africa kwa proxy zao ndio wastaarabu wa Dunia.
 
💥💥💥💥
Video footage: Iran imeshanbulia kwa makombora Tel Aviv. Zimamoto wakiwa eneo la tukio kuzima Moto
King faisal
100 others
ITR
Driver proffesional
Mtanisamehe nimewatag sababu Leo siku nzima tulibishana kuwa watu awaruhusu kurusha matukio. Hao wapp zimamoto mtu anawarecord na amerusha video
Picha hiii wametoa wao wenyewe sio raia 🤔🤔🤔🤔
Jamaa Israel ikishambulia , utasikia - "Israel na US waishambulia Iran muda huu. Mlipuko mkubwa sana" , subiri Iran ishambulie utaona "Iran waishambulia kwa makombora Israel" ....

Kiuhaisia ni kwamba.
Iran ndiye ana makombora yana warhead zenye explosive ya juu zaidi, 12 days war tuliona. Jamaa wakipiga moja mtaa mzima unatikisika kama tetemeko la ardhi.

Hali hii inapelekea wananchi wengi wanajificha ndani ya shelter, na wanaogopa, kikipigwa king'ora tu, wnakimbia ndani, hivyo wanaobaki nje ni wachache pengine hawapo.

Maana raia wanaogopa sana mashambulizi ya Iran.

Kingine ni serikali ya Israel kutumia police upande wa cyber, wakijua umerusha picha wanakutembelea.

Lakini Israel inapigwa sio poa, mashimo ya kutosha , majengo yamepigwa sio poa...
Vyasasa ni kombora moja tani 1 wataombo pooooo kwa China tu.
 
Kiongozi Iran hawana sera ya kukamata wananchi wanaorusha picha mitandaoni, Israel wana askari vitengo vya cyber wana raid nyumba ama sehemu ambapo wameona mtu anarekodi video za mashambulizi, na wanakamatwa.

Israel wana sera kali sana ya kudhibiti habari..
Iran hata kama internet imezimwa kuna internet zingine zinafanya kazi kama satellite internet...

Ndio maana unaona muandishi wa habari amelalamika , aliwewa chini ya ulinzi Israel, lakini anasema karuhusiwa na Iran kuingia ku document hio vita.
Anashangaa kwa shirika la habari ambalo ni linatokea nchi closest ally wa Israel wanazuia.

Israel pia wana vitengo vya cyber, wana uwezo wa ku filter chochote, kinachotoka na kuingia, hao ndio unasikia wana softwares kama pegasus... wanaingia hadi whatsapp...

Sasa unashangaa nini wanapominya habari?
Kwanza internet haijazimwa kama watu wanavyofkiri Iran, kule Iran kuna internet ya kimataifa na kitaifa, internet ya kitaifa inafanya KAZI kama kawaida, watu wanatumiana picha.

Pia Iran kuna waandishi wa habari kimataifa Hadi CNN wapo live sasa hivi hawanyimi Taarifa.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wanashambulia kwa makombora eneo la kermanshah
Screenshot_20260306-023520_1.jpg
 
Mkuu hakuna mtu independent anaeweza kupiga picha za satellite Tel aviv yaani before and after missile attack on a particular target?
So far kuna kampuni moja ya China ina satellite private inaitwa Mizarvision wao pekee ndio wanatoa Taarifa live za satellite so far, sema Wana deal na details za vita zaidi kuliko mambo ya civilian, mfano kilichopigwa usiku huu hapo Ben Guiron ni tanki la mafuta ya Ndege la Marekani, ama walitoa Taarifa ilivyopigwa base ya Qatar ni Radar ilipigwa etc.

Mfano wa satellite image Yao
sequence-01-00-00-00-00-still001-68710ac2d6326.jpg

Hapo wanaonesha Hilo dubwshana la Duara ambalo ndio most expensive Radar ya USA Ukanda huo radius km 5000.

So sijui shule imebomolewa, sijui uwanja wa mpira umepigwa hawana time nayo.
 
Back
Top Bottom