City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mkuu mlipuko ukiwa mkubwa waliopo watasemaIla we jamaa tutagombana hapo tu, hivi we huoni kama huo ni mlipuko mkubwa?
Mkuu mlipuko ukiwa mkubwa waliopo watasemaIla we jamaa tutagombana hapo tu, hivi we huoni kama huo ni mlipuko mkubwa?
Sasa hoja imekuwa husemi milipuko mikubwa 😀😀😀Tumebishana humu Leo siku nzima kuwa Israel watu wamekatazwa wasirushe habari. Niliwaeleza huwezi kuzuia watu wasirecord na kurusha, haiwezekani
Mkuu kombora likipigwa,watu walio maeneo hayo ya karibu watarecord tu na watazirusha. Habari zinazoweza kuzuiliwa ni zile za media, lakini sio hizi za mashambulizi. Hata uzime internet watu watazirusha tuKwa unavyo ona wewe kwa kulinganisha habari zinazotoka israel na iran uwiano wake uko sawa
Kafurahi myahudi mwenzio RRONDOHii vita ikifika Septemba Teheran patakuwa gaza maana Israel ni wanashushaga makombora kama njugu🦫
Hujajibu swaliMkuu kombora likipigwa,watu walio maeneo hayo ya karibu watarecord tu na watazirusha. Habari zinazoweza kuzuiliwa ni zile za media, lakini sio hizi za mashambulizi. Hata uzime internet watu watazirusha tu
Inawezekana lakini picha za satellite hazina details za kutosha kama za kawaida...Mkuu hakuna mtu independent anaeweza kupiga picha za satellite Tel aviv yaani before and after missile attack on a particular target?
Iran imetumia kombora aina ya khaibar shekhan kushambulia Tel Aviv
Hukusema kama ni mlipuko mkubwa..Iran imetumia kombora aina ya khaibar shekhan kushambulia Tel Aviv
Duh! Kombora lina jina la kikobaz kabisa, hawa jamaa noma💥💥💥💥
Iran: tumetuma kombora aina ya "khaibar shekhan" kushambulia Tel Aviv muda mchache uliopita
Huwezi kuzuia. Bongo hapa oct 29 mtandao ulizimwa lakini watu walirecord matukio yoteHujajibu swali
Ila anyway mzee wa milipuko mikubwa tuko pamoja lete milipuko hiyo
Waliopo wanasema haukua mkubwa. Ngoja tusubiriHukusema kama ni mlipuko mkubwa..
Kama kwa namna ya moto unavyo onesha vile kwenye picha na mlipuko sio mkubwa basi huna haja ya ktuletea vivuli vya moshi kutokea iran na ukasema mlipuko ni mkubwa utakua ni mnafikiWaliopo wanasema haukua mkubwa. Ngoja tusubiri
Mkuu lete vitu ukiweza vya Iran potezea walete wao 😀😀😀Waliopo wanasema haukua mkubwa. Ngoja tusubiri
Mkuu Kuna picha na video. Ikija picha hata Kama Ina moshi lakini mlipuko ukiwa mkubwa lazima watasema.Kama kwa namna ya moto unavyo onesha vile kwenye picha na mlipuko sio mkubwa basi huna haja ya ktuletea vivuli vya moshi kutokea iran na ukasema mlipuko ni mkubwa utakua ni mnafiki
Unajistukia tazama post zako za nyuma za milipuko alafu uoneMkuu Kuna picha na video. Ikija picha hata Kama Ina moshi lakini mlipuko ukiwa mkubwa lazima watasema.
Alafu mbona mara nyingi huwa sisemagi mlipuko mkubwa?