Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Trump amekurupuka, side effects zimeonekana, huenda intelligence yake haikujua uimara wa Iran.Wewe unafikiri hayo yote Marekani hayajui?
Marekani haikujua hili ndiyo maana viongozi wa juu wanaonya kuhusu kuendelea na vita hiyo kwa sababu madhara ni makubwa kwa upande wa USA na vibaraka wake kuliko Iran