Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Marekani kwenye vita hua haangalii gharama hio sio nchi masikini ni hela wanatoa hapa wanaweka hapa😀

hapo tu kwa comedy zele katoa zaidi ya dollar billion 60+ kule taleban alicha zaidi ya dollar billion 200, bila kusaha jamaa wanatumia kufadhiki makundi ya kigaidi huko nako wanatumia mabilion ya dollars

Angalia hizi zilivyo panda za makampuni ya silaha ya hapo marekani 😀😀 mwisho wa siku Iran lazma apige goti

USA wakianza uhuni wa carpet bombing yowe litakua kubwa sana
Kama ndiyo nini kiliwakimbiza kule Taliban si wangeshinda? Wakashindwa kukomboa mateka waliyo chukuliwa na Hamas?

Iran inatumia mbinu ya asymmetric warfare , anaye umia zaidi ni USA, kumbuka hao ulio wataja, hawakua imara kama Iran ilivyo saivi... Means Iran yuko imara sana kijeshi, na itakua ngumu sana kwa USA kupenya hapo Iran
 
Teh teh teh huwa mfuatiliagi siasa za ndani za Israel sio,hakuna wakati ambao waisrael wamekubali vita kwa wingi kama wakati huu,na acceptance rate ya Netanyahu imekuwa juu kuliko kipindi chochote kile kwa mujibu wa poll.
We jamaa usituchukulie sisi watoto wenzako.
Raia waliikataa hii vita na wengi wanasema ni mtego wa Netanyahu kukwepa mashtaka yake na kusogeza mbele wakati wa uchaguzi.
Nakusisitiza sisi sio njuka wenzako.
 
✡️ GREATER ISRAEL: ultimate plan behind current Middle East war?

Netanyahu appears determined to realize the biblical vision of "Greater Israel" by expanding its territory across the Middle East.

An expanded Israeli state based on biblical promises, stretching “from the Nile to the Euphrates” — potentially including large parts of modern Egypt, Jordan, Lebanon, Syria, Iraq, Saudi Arabia, and even bits of Turkey and Iran.

What's the strategy?

🌏 Direct military conquest when opportunity arises (e.g., seizing Golan Heights in 1967, buffer zones in Lebanon/Syria)

🌏 Rapid illegal settlement expansion in the West Bank to create “facts on the ground” and prevent a viable Palestinian state

🌏 Strategic fragmentation of Palestinian territory into isolated enclaves

🌏 Diplomatic/economic normalization (see Abraham Accords & Kushner's "New Gaza" plan unveiled at Davos) to gain acceptance and economic ties with Arab states while quietly advancing territorial claims

🌏 Weakening neighboring states through proxy wars, airstrikes, or regime-change pressure (especially Syria, Lebanon, Iraq)

👇Listen to what Retired U.S. Army Colonel Douglas Macgregor said back in August:

"Without the complete defeat of Iran, the 'Greater Israel' project has no chance.

Netanyahu understands this perfectly, that's why they planned it all along — despite Iran's will to negotiate.
Iran ikianguka huu mpango wa Israel unawezekana... Tatizo ni Iran!

Tukumbuke Iran haitokuwa peke yake ikionekana kushindwa
 
Kiranja wa dunia akiombewa!!!! Wa kwenu mlishindwa kumuombea ndiyo maana kauliwa kizembe!!
 

Attachments

  • -6344717674610197130.mp4
    11 MB
MZee unazijua dollars 3T zikimegwa kutoka hazina😀

Dollars 3T ni sawa na GDP ya bars zima la Africa, hio dollars 3T ni kubwa zaidi ya uchumi Russia

Hata tukirudi nyuma uchumi wa marekani ilikua vizuri sana licha ya hizo dollar 3T kutumika

Marekani ananufaika sana na vita awe anapigana au hapigani

Kwa sasa mabilion ya dollars yanaenda Lockheed martin,Rtx, Northrop, general dynamics, Boeing,L3Harris nk

Trump kila walichofanya watangulizi wake yeye anaona ni upuuzi tu, jamaa anapenda kuonekana yeye tu, trump utoto mwingi
So Trump kuita upotevu alikuwa anakosea? Maana yeye alikuwa anaangalia shughuli za kiraia na kuboresha maisha ya wamarekani, maana wewe umeyazungumzia makampuni ya silaha, Trump alizungumza kwa kuilenga jamii, hata Senator Sander yy yupo against kuanzia vita ile ya Palestine ambapo US alitoa msaada na hata hii ya Iran anapinga sababu anaona ni opotevu wa hela, ina maana Sanders nae ni mtoto?

Huu mjadala ndio upo baraza la Senate na kuna mapishano ya Maseneta wanapinga, kwani wanaona bora hizo hela ziende kwenye shughuli za kijamii, wewe unazani maseneta hawajui kwamba hizo hela zinaenda kwenye makampuni ya silaha? Mpaka kuongea hivyo wanaona mwanachi wa chini hafaidiki na hela hiyo.
 
Screenshot_2026-03-06-11-31-22-36_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Kama ndiyo nini kiliwakimbiza kule Taliban si wangeshinda? Wakashindwa kukomboa mateka waliyo chukuliwa na Hamas?

Iran inatumia mbinu ya asymmetric warfare , anaye umia zaidi ni USA, kumbuka hao ulio wataja, hawakua imara kama Iran ilivyo saivi... Means Iran yuko imara sana kijeshi, na itakua ngumu sana kwa USA kupenya hapo Iran
Sababu kuu za kujitoa USA Afghanistan mbona zipo wazi mkuu, mkuu kwani uliona vita kati USA na Taliban hio 2021😀

Kinacho endelea Iran unakiona lakini au unaangalia kishabiki.

Kwa akili za Trump hii vita mbaya sana kwa Iran, muda unakuja wairan wenyewe wataingia barabarani ni suala la muda tu

Kinachotokea Ukraine ni sababu nyuma yake kuna mataifa yenye nguvu, bila hivyo Ukraine ingekua hoi sana

Israel na USA wakianza kuwabinya raia, usitegemee china na Russia watakua mstari wa mbele kuja kutoa msaada kama Ukraine anavyosaidiwa na washirika wake

IRAN hawezi kushinda hii vita
 
So Trump kuita upotevu alikuwa anakosea? Maana yeye alikuwa anaangalia shughuli za kiraia na kuboresha maisha ya wamarekani, maana wewe umeyazungumzia makampuni ya silaha, Trump alizungumza kwa kuilenga jamii, hata Senator Sander yy yupo against kuanzia vita ile ya Palestine ambapo US alitoa msaada na hata hii ya Iran anapinga sababu anaona ni opotevu wa hela, ina maana Sanders nae ni mtoto?

Huu mjadala ndio upo baraza la Senate na kuna mapishano ya Maseneta wanapinga, kwani wanaona bora hizo hela ziende kwenye shughuli za kijamii, wewe unazani maseneta hawajui kwamba hizo hela zinaenda kwenye makampuni ya silaha? Mpaka kuongea hivyo wanaona mwanachi wa chini hafaidiki na hela hiyo.
Tatizo unaongea kana kwamba haujui kabisa siasa za USA

USA ni taifa la kibepari lenye ubepari ulioota sugu advanced monopoly capitalism

Hao wanasiasa huongea tu ila kiuhalisia mambo hayapo hivyo mkuu
 
Unaongelea bongo Nchi ambayo Iko nyuma kuhusu technology so una i- compare na Israel really!? Jaribu kutoa mfano mwingine chief
Sijacompare kwa maana hiyo ya kuwalinganisha, nimecompare muktadha kuwa binadamu kumdhibiti ni ngumu
 
Kila mtu alete habari kwa upendeleo wake sisi wasomaji tutachuja tunazotaka. Haina maana kumzodoa mtu ambae anatumia muda na gharama zake kuleta update. Mkuu piga kazi City Thunder OKC
Hawa wanashindwa kuelewa kuwa marekani na Israel mashambulizi ni mengi sababu wana ndege nyingi juu ya anga la Iran, Iran kushambulia Israel ni mpaka arushe makombora ambapo sio muda wote anarusha makombora na pia anaweza kurusha yakawa intercepted yote
 
So hao Maseneta wanao lalamika ,wengine mabilionea hawaju siasa za US kama unavyo zijua wewe?
Hapa tutakesha, soma kwanza ubepari au waulize marafiki zako wanaoishi marekani watakuelezea nini maana ya Advanced monopoly capitalism 😀

Serikali ya marekani haijawahi kua upande wa raia kama hao maseneta wanavyo piga kelele
 
Team Iran hua siwaelewi kabisa mnapenda sana uongo 😀

mwanzo mlisema Israel imezuia habari tena zisitoke, kwamba Israel wameweka na algorithm hatari inayohunt hizo videos, ajabu ni kwamba bado mnaendelea kuzishare😀

MLikua mnasema kua airbase zote za Israel zimekula moto kwamba ndege za Israel siijui zinatua wapi, Jana mbabe BIBI baadhi ya airbase na kulikua na ndege za F-22 raptor za kutisha😀

Mpunguze kua waongo, Iran hana target yeyeto ya maana ndani ya Israel
IT proves nothing, hatujui Bibi Yuko wapi hatujui hizo Ndege kama zinatumika etc hizo ni mbinu tu za kivita.

Pia hakuna anaekataa hakuna video za mabomu zipo kibao, ila za mbali, hapo unaona Tu bomu kwa mbali linapiga ila impact kabisa ilipopiga na Eneo la tukio huoni chochote, kwenye field waandishi wakakamatwa na huruhusiwi kushare kitu.
 
Hapa tutakesha, soma kwanza ubepari au waulize marafiki zako wanaoishi marekani watakuelezea nini maana ya Advanced monopoly capitalism 😀

Serikali ya marekani haijawahi kua upande wa raia kama hao maseneta wanavyo piga kelele
Inamaana hao Maseneta hawaelewi ubebari? Maana mule baraza la Seneta kuna mabepari, tena mabepari haswa nao wanapinga hii vita.

Hiyo paragraph ya mwisho inatofauti gani na nilicho kuzungumza,ndio maana wanaita upotevu wa hela sababu hazimnufaishi mwananchi.
 
Back
Top Bottom