joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Yaani upo Tz halafu unamuona yule Seneta wa US ,ambaye amesomea kwenye mifumo mizuri ya elimu kuliko wewe, anajua mengi kuliko wewe na wengi wanahela na makampuni yao,anazungumzia upotevu wa hela kwenye vita visivyo wahusu,ila unasema hoja za pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko?Kumbe kabla ya hii vita pesa zilikua zinawanufaisha wananchi😀
Trump anapigwa sio kwa sababu ya hii vita, trump anapigwa ni sababu ya tabia zake za hovyo hovyo. Jamaa analiendesha taifa jinsi anavyotaka yeye pembeni kazungukwa na machawa wa kutosha
Hayo masuala ya kusema sijui pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko kabisa