let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Duuu wewe jamaa umeamua kuniongopea mchana kweupe.bahari uwa ina hama na kurudi.
Soma kitu kinaitwa Tide and tide..hapo bahari imehama kwa muda,baadae ilirudi.
Marehemu alikuwa ana kamdomoNukuu za gaidi Ayatollah:
Km Trump atatushambulia tutailpua Washington 😁😁
Duh meli iko jangwani. Vipi walivyoiplipua wakaivua mpaka jangwani Iran? 😀😀😀Iran wamelipua U.S aircraft carrier lakini vyombo vya magaribi na Israel vimezuia habari isichapishwa.
Hizi nyengine ni AI
Huyo jamaa ana grade A ya uongo.Duh meli iko jangwani. Vipi walivyoiplipua wakaivua mpaka jangwani Iran? 😀😀😀
Chief..soma kuhusu Tide and Tide.Duh meli iko jangwani. Vipi walivyoiplipua wakaivua mpaka jangwani Iran? 😀😀😀
Location hiyohiyo uliopost meli, ukaamua tena upost na ndege .Chief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
Bahari ikihama linabaki jangwa sio okay asante nimeelewa.Chief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
shida mko brainwashed na vyombo vya magaribi.Location hiyohiyo uliopost meli, ukaamua tena upost na ndege .
AU HUJAGUNDUA LOCATION YA MELI NA NDEGE KUWA NI SEHEMU MOJA?
Mm najaribu kukufundisha.shida mko brainwashed na vyombo vya magaribi.
hata mkiambiwa ukweli mnakataa.
Duu haya mauaji sasa. Iran wanataka sifa sasaIRGC aerospace commander
Tumerusha kombora moja lenye makombora ndani yake 80 yenye kulenge targets 80. Tukirusha ya hivyo 100 tutalenga targets 8000 ndani ya Israel.
Huu mkwara au fact?
Muache apumnzike kwa amani mzee wa watu.Babu gaidi Ayatollah aanza kufurahia maisha mapya
Tayar ana mmoja Kati ya wale 72 tulioahidiwa na molaa wetu😋😋😋
Kuna missile walitumia mwisho wa vita vya siku 12, lile Lina vibomu vidogo vidogo ndani likipiga sehemu ni mtaa mzima,IRGC aerospace commander
Tumerusha kombora moja lenye makombora ndani yake 80 yenye kulenge targets 80. Tukirusha ya hivyo 100 tutalenga targets 8000 ndani ya Israel.
Huu mkwara au fact?