Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mzigo upo wa kutosha!!!!!!!!!

The Iranian Defense Ministry has said the country’s armed forces have secured their strategic reserves and are prepared for a prolonged conflict.

Iran’s offensive and defense operations will continue until “Israeli and American enemies” are defeated, Deputy Defense Minister for Strategic Planning Reza Talaei-Nik has told ISNA, warning that the adversary’s efforts will ultimately prove futile.

Maafisa wa Marekani wameishutumu Urusi kwa kuipatia Iran taarifa za kiintelegensia kuhusu mienendo ya shughuli na harakati za kijeshi za Marekani kwenye eneo hilo,hali inayo isaidia Iran kufanya mashambulizi yenye mafanikio dhidi ya vikosi vya Marekani.
 
Mbona wao wanapigana na Iran Kwa mtungo na watu Hawalalamiki !?
 
Huku apps za nje zote hazifanyi kazi ila apps zao kama kawa zinapiga mzigo na irancell inafungua data unaangalia fresh muvie tena hakuna hata kukwamakwama

Whatspp yao ndio sina tu maana hizi apps zao zinafanya kazi ndani ya iran tu
Basi huko ni ngumu kumeza kama North korea tuu
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Siku tano zimeisha toka mwili wa gaidi mkuu duniani uwekwe kwenye frij😁😁😁

gaidi lilikuwa na nyodo sio poa

tena nyodo zenyewe alikuwa anachamba kupitia Twitter ya mmarekani
Na hapo wa iran weusi ndio wanaponiacha hoi, unasema humpend mmarekani wakati hiyo comment imewezeshwa na android, ios au windows.
 
Maafisa wa Marekani wameishutumu Urusi kwa kuipatia Iran taarifa za kiintelegensia kuhusu mienendo ya shughuli na harakati za kijeshi za Marekani kwenye eneo hilo,hali inayo isaidia Iran kufanya mashambulizi yenye mafanikio dhidi ya vikosi vya Marekani.
Wao wakimpa Ukraine location ya kulenga mali za Urusi wanaona ni sawa... Urusi ikifanya hivo wanaona ni kosa pumbavu zao 😊😊

Kadri vita vitakavyochukua muda mrefu itafika wakati Iran itapewa makombora
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi Bushehr
Screenshot_20260306-155400_1.jpg
 
Vita ndio chanzo ila ikiisha ni whatsapp na imo tu ndio utaipata kawaida ila apps nyingine zote bila vpn hufungui
Hapo ndio sijawaelewa, kama unafungia insta na fb unaacha whatsapp naona kitu si kilekile tuuu
 
Na hapo wa iran weusi ndio wanaponiacha hoi, unasema humpend mmarekani wakati hiyo comment imewezeshwa na android, ios au windows.
Mbona wewe hauipendi IRan wakati Nchi Yako imekopa pesa Kwa serikali ya Iran na pesa hizo ndio moja ya mtaji unaotumika kuzungushia Uchumi uliopo Nchini !?

Usikute hiyo Simu unayo tumia ni zao la pesa ulizo lipwa na serikali Yako as salary baada ya serikali yako kukopa Iran

😄😄
 
Leo Iran imefanya mashambulizi dhidi ya Israel mara mbili lakini mpaka sasa hakuna taarifa yeyote juu ya matokeo ya mashambulizi hayo.
Duh hawa ******* wanao dhibiti habari ni kiboko aisee na wametuweza sisi wapenda makuu.
Mkuu si kila makombora yanaporushwa huwa yanafanikiwa kupiga. Yakiwa intercepted habari inaishia hapo

Yakipiga pale palipopigwa wananchi lazima watavhukua video. Hiyo ni lazima haiwezi kuzuilika
 
Leo Iran imefanya mashambulizi dhidi ya Israel mara mbili lakini mpaka sasa hakuna taarifa yeyote juu ya matokeo ya mashambulizi hayo.
Duh hawa ******* wanao dhibiti habari ni kiboko aisee na wametuweza sisi wapenda makuu.
😄 Muhimu wanapigwa tu hata wakificha haiepushi ukweli kwamba wanapigwa
 
Back
Top Bottom