🤣🤣🤣🤣 Iran bado kashikilia bombaMpaka sasa matokeo ngapi ngapi? Iran anaongoza au US Anaongoza?
Vipi utaenda kuwasaidia kufukua😀😀IRGC wanasema missiles walizotumia hadi sasa ni za miaka ya 2012, 2013 na 2014, Wanasema bado hawajatumia missiles zao za kizazi kipya.
IRGC wanasema watatumia missiles zao za kizazi kipya kwa siku zijazo. Na wanajiandaa kwa vita ya muda mrefu.
Wanasema vitengo vya ubunifu na uzalishaji vinaendelea na kazi kama kawaida.
asa mbona hao wanaoVipi utaenda kuwasaidia kufukua😀😀
wamependa kazi ya bunker buster kutoka kwenye B-2 spiritasa mbona hao wanao
record kama wanashangilia wakti ni wairan kabisa