100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Hakuna kitu hapo, hizo bunker buster hazina uwezo kufikia makombora yalipo.Vipi utaenda kuwasaidia kufukua😀😀
Hakuna kitu hapo, hizo bunker buster hazina uwezo kufikia makombora yalipo.Vipi utaenda kuwasaidia kufukua😀😀
Katoka kwenye MAGA anakimbilia MIGA haya tusubir MUGA
Na Trump kaanza kuwa Karibu na wachungaji wamuombee ili aongoze nchi vizuri ktk kipindi hiki kigumu. 😁😁😀😀Hebu kangalie Maseneta wanavyo nyukana kwa hoja bungeni?
Angalia Al Jazeera uone western Iran ilivyo😀Hakuna kitu hapo, hizo bunker buster hazina uwezo kufikia makombora yalipo.
Israel ilitegemea Kurds, Kurds wamekataa..🚨🇱🇧 Hezbollah warns Israeli border town residents to evacuate
Hezbollah has issued a warning to Israeli residents living within 5 km of the border, urging them to evacuate the area as tensions escalate along the frontier.
Tel Aiv umeshaiona?Angalia Al Jazeera uone western Iran ilivyo😀
Kwa maelezo hayo inamaanisha kumbe tanzania hua inakopa kwa Iran tuu, sawa mkuu nimekuelewa wacha tuendelee kuenjoy pesa za beberu IranHata kama haulipwi Kwa mwezi still pesa unayo ivuna pindi unapo kuwa katika Hilo Taifa Moja ya chanzo Cha mzunguko wa pesa hizo mpaka zikufikie wewe na Mimi ni serikali kukopa pia Kwa baadhi ya Nchi rafiki na Taifa hili , so Hela ya Wairan hauwezi kuikwepa , kaa Kwa kutulia mkuu uchumi ni namba 😄
Leta updates mzee 🔥🔥 usibishane na hawa wala nguruwe watakutoa kwenye reli💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la bidganeh magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa
Tel Aviv ipo njema sana, ballistic za Iran hazina madhara kabisa, mabomu yanayoshuka Tehran sio poa au nikupe videos kabisa😀Tel Aiv umeshaiona?