King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Mbinu za kuwamaliza nguvu, Israel hii vita anakutana na mengi sana..🚨 🇮🇱 Israel claims it destroyed 6 launchers with Iranian ballistic missiles
👉 Let’s look back at how Iran tricked Israeli aircraft with radar decoys, leading them to strike fake missile sites.
Mteule mmoja si akajinyea ndani ya bomb shelter baada ya kombora la Iran,hapakukalikaBREAKING:🚨🇮🇷 🇮🇱
Missile impact in Tel Aviv , Bahrain’s oil refinery BAPCO ,
Iraq , and UAE
We jamaa kichwa kimechemka sana, Israel wasijue wapi hizo underground zilipo kama.. kama waliweza kujua lini,wapi na muda muda wa ayatollah atakua na kikao, akashusha kipigo Leo ashindwe jambo dogo kama hilo😀Mbinu za kuwamaliza nguvu, Israel hii vita anakutana na mengi sana..
Target kuu ya Israel na US ni kupiga missiles stock zilizopo chini ya ardhi, yaani wanatafuta hizo target kwa hali na mali.. Iran inafahamu hilo...
Hivyo Iran wana fake sana , kuanzia bases n.k.. na Iran inawachosha...
Ndio hivyo mkuu hii vita ni ngumu aisee Leo nilikua bize sana kazini . saivi ndio nimepata mda nakuona irani anapigana hii vita kwa akili kubwa sana.Mbinu za kuwamaliza nguvu, Israel hii vita anakutana na mengi sana..
Target kuu ya Israel na US ni kupiga missiles stock zilizopo chini ya ardhi, yaani wanatafuta hizo target kwa hali na mali.. Iran inafahamu hilo...
Hivyo Iran wana fake sana , kuanzia bases n.k.. na Iran inawachosha...
Tel Aviv imepigwa na cluster sub-munitions leo, wamepigwa na fattah, hio cluster ambayo ni Khorramshahr-4 inapiga target 80.Tel Aviv ipo njema sana, ballistic za Iran hazina madhara kabisa, mabomu yanayoshuka Tehran sio poa au nikupe videos kabisa😀
ila kwa kweli kitu kizuri ni kizuri tuwamependa kazi ya bunker buster kutoka kwenye B-2 spirit
Mkuu inamaana wewe peke yako humu ndio una kibali cha kuleta taarifa sahii? unge-verify identity yako ili tukuamini kwa usahii! Isiwe msela mmoja tu wa hapo kijiwe samli BOM BOM.Hizo video zinalatikana dark web? Kwa hiyo mm nipo dark web?
Huyo aliyekua anarecord hapo nae hajulikani?
Huwa mnaona raha gani kuandika uongo?
Bunker buster wanatumia muda tu,ila wanayarusha wakiwa 400+km, wanaogopa kudunguliwaSasa hivi ni mwendo wa bunker buster tu, 😀