We jamaa unapendaga ubishi usio na kichwa wala miguu.Kumbe kabla ya hii vita pesa zilikua zinawanufaisha wananchi😀
Trump anapigwa sio kwa sababu ya hii vita, trump anapigwa ni sababu ya tabia zake za hovyo hovyo. Jamaa analiendesha taifa jinsi anavyotaka yeye pembeni kazungukwa na machawa wa kutosha
Hayo masuala ya kusema sijui pesa za wananchi zinatumika vibaya hazina mashiko kabisa
Tangu vita ya Iraq,Libya na vita ya Afghanistan ni mwenye Trump alisema haina budi USA tuondoke Afghanistan maana pesa zinatumika kwa wingi pasi na sababu.
Kaa ukijua USA homeless people wanaongezeka daily,USA ni miongoni mwa nchi zenye miundombinu ya zamani hususan jiji la New York.
Then pesa ziende kwenye vita!??
Hicho ndio kitu masenator wanapinga.