Sorcerer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,694
- 2,485
Iran wameanza kutumia cluster munitionKwamba ni uhuni kwa Iran kupiga Radar za USA zinazomshambulia? Serious?
USA na Israel wakianza uhuni kelele zitakua kubwa sana
Iran wameanza kutumia cluster munitionKwamba ni uhuni kwa Iran kupiga Radar za USA zinazomshambulia? Serious?
Kwanini madam!?
Hizo ni logistics cost Tu ukitake consideration ya kila kitu ni hundreds of Billions, soko la hisa Tu limeshashuka zaidi ya 1 trillion dollar, watu wanauza hisa kwa Kasi, probably waarabu wanachukua hela zao, Ukiangalia hizo Radar kama za Iraq, moja Tu inacost zaidi ya 1B USD,Ni USD 1Bln mkuu kwa nilivyosoma nami
Wote Iran na Israel hawapo bound na cluster,Iran wameanza kutumia cluster munition
USA na Israel wakianza uhuni kelele zitakua kubwa sana
Diplomasia haziendi hivyo.Hizo UAE, Qatar, Saudia hazina kitu zitaifanya kuizuia USA na Israel.
Na wakileta zongo kikombe cha Iran kitampata mmoja wao baada ya Iran.
Hizo video zinalatikana dark web? Kwa hiyo mm nipo dark web?Hizo video watu wanazifukunyua dark Web kwa njia za kawaida huwezi kuzipata asilani na hiyo ni sheria kabisa Imetungwa mwaka jana walipo kuwa kwenye vita ya siku 12 laniki kwenye vita ya siku 12 walilenga zaidi zaidi hasa kwenye maeneo ya kijeshi lakini kwenye vita hii inaonekana wamepanua wigo wa udhibiti.
Na mpaka sasa waandishi 2 wa CNN wako kizuizini kwa kujaribu kwenda kinyume na sheria hiyo.
Juzi kuna muandishi mmoja kutoka china anaye fanya kazi ndani ya Israel alikuwa akihojiwa na IRT ya Uturuki akawa anasema kuwa kwa sasa ndani ya Israel kuna udhibiti mkali sana wa habari hivyo ni ngumu sana kurekod video na kuzituma lakini uharibifu ni mkubwa.
Hata ukijaribu kuangalia hizi video zinaonekana zimerekodiwa kutoka mbali nje ya mji kabisa.
Kumbe kabla ya hii vita pesa zilikua zinawanufaisha wananchi😀Inamaana hao Maseneta hawaelewi ubebari? Maana mule baraza la Seneta kuna mabepari, tena mabepari haswa nao wanapinga hii vita.
Hiyo paragraph ya mwisho inatofauti gani na nilicho kuzungumza,ndio maana wanaita upotevu wa hela sababu hazimnufaishi mwananchi.
Sasa kama haujui kwanini bado unabisha😀.IT proves nothing, hatujui Bibi Yuko wapi hatujui hizo Ndege kama zinatumika etc hizo ni mbinu tu za kivita.
Pia hakuna anaekataa hakuna video za mabomu zipo kibao, ila za mbali, hapo unaona Tu bomu kwa mbali linapiga ila impact kabisa ilipopiga na Eneo la tukio huoni chochote, kwenye field waandishi wakakamatwa na huruhusiwi kushare kitu.
Hizo Dollar wanazipata wapi? Pindi watu wanapowekeza, influence ya kampuni zao world wide etc, So watu wanapochomoa hela Marekani kwa kuuza hisa wanapata wapi hela za kulipa?MZee unazijua dollars 3T zikimegwa kutoka hazina😀
Dollars 3T ni sawa na GDP ya bars zima la Africa, hio dollars 3T ni kubwa zaidi ya uchumi Russia
Hata tukirudi nyuma uchumi wa marekani ilikua vizuri sana licha ya hizo dollar 3T kutumika
Marekani ananufaika sana na vita awe anapigana au hapigani
Kwa sasa mabilion ya dollars yanaenda Lockheed martin,Rtx, Northrop, general dynamics, Boeing,L3Harris nk
Trump kila walichofanya watangulizi wake yeye anaona ni upuuzi tu, jamaa anapenda kuonekana yeye tu, trump utoto mwingi
Nabisha nini sasa, yani uniquote na allegations zako ambazo sijafanya, u assume nimefanya, halafu utoe majibu yako then useme nimebisha, grow up.Sasa kama haujui kwanini bado unabisha😀.
BIbi hajulikani alipo, hii taarifa umeitoa wapi?
😀😀😀 haya mambo huyawezi hebu turudi kwenye vitaHizo Dollar wanazipata wapi? Pindi watu wanapowekeza, influence ya kampuni zao world wide etc, So watu wanapochomoa hela Marekani kwa kuuza hisa wanapata wapi hela za kulipa?
Ukiangalia deni la Marekani linakua mno wanapoingia vitani, itafika stage hata kukopesheka watakua hawakopesheki.
View attachment 3553525
Toka vita ianze zaidi ya Trilioni moja USD zimepotea solo la hisa, watu Wana prefer kuwa na cash badala ya hisa sababu kuna sintofahamu kubwa.