Siasa za ukanda wa mashariki ya kati ulizifuatilia kwa undani mkuu!??Wewe unafikiri kwanini Gulf states zinaruhusu US base?
Qatar iliruhusu base za Usa,kwanini ina mikataba ya kibiashara ya gesi na silaha kisiri na Iran?? Tena mwaka jana June war ndio iligundulika!??