Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wao wakimpa Ukraine location ya kulenga mali za Urusi wanaona ni sawa... Urusi ikifanya hivo wanaona ni kosa pumbavu zao 😊😊

Kadri vita vitakavyochukua muda mrefu itafika wakati Iran itapewa makombora
Itakuwa Raha sana hapo USA lazima atakumbia tu
 
Mbona wewe hauipendi IRan wakati Nchi Yako imekopa pesa Kwa serikali ya Iran na pesa hizo ndio moja ya mtaji unaotumika kuzungushia Uchumi uliopo Nchini !?

Usikute hiyo Simu unayo tumia ni zao la pesa ulizo lipwa na serikali Yako as salary baada ya serikali yako kukopa Iran

😄😄
1 MIMI SILIPWI KWA MWEZI, MWEZI WANGU UNAANZIA SA2 ASUBUHI MPAKA SA12 JIONI INAKUA MWISHO WA MWEZI.

Mnaukataa muembe lakini maembe ndio chakula chenu pendwa
 
1 MIMI SILIPWI KWA MWEZI, MWEZI WANGU UNAANZIA SA2 ASUBUHI MPAKA SA12 JIONI INAKUA MWISHO WA MWEZI.

Mnaukataa muembe lakini maembe ndio chakula chenu pendwa
Hata kama haulipwi Kwa mwezi still pesa unayo ivuna pindi unapo kuwa katika Hilo Taifa Moja ya chanzo Cha mzunguko wa pesa hizo mpaka zikufikie wewe na Mimi ni serikali kukopa pia Kwa baadhi ya Nchi rafiki na Taifa hili , so Hela ya Wairan hauwezi kuikwepa , kaa Kwa kutulia mkuu uchumi ni namba 😄
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi iliyopo eyvin town jimbo la ilam
Screenshot_20260306-161201_1.jpg
 
W
Israel inajikaza tu, na kutunisha msuli ambao hawana, nsio maana hii vita ya sasa hajathubutu kwenda peke yake tokana na kuogopa kichapo.

Vita ya chini jeshi la Israel uwezo wao ni mdogo ndio maana wameshindwa kuidhibiti Hamas.

Turkey ikipeleka jeshi lake kla ardhi pale Gaza wanaweza kabiliana na Hamas na kuwatoa, lakini si Israel.

Chief..soma kuhusu Tide and Tide.
Kuna wakati bahari inahama na kurudi.hii picha ilipigwa wakati bahari imehama.
kumbe watu wanachukua picha kwa wizi wizi usijeonekana.
Israel wakikuona unachukua picha unauwa hapo hapo..hawataki habari hizi zisambae.
Kawadanganye watoto wenzako huko huko
 
Kwani yakiwa intercept wananchi Hawa wezi kuchukua !?
Utafauti ni kuwa yakiwa intercepted ni kitendp cha haraka, wakati yakipiga sehemu ni kitendo endelevu mtu anaweza kuchukua kwa kadri anavyotaka sababu tayari incident imetokea. Hilo ni la kwanza

La pili, makombora yanaporushwa watu huingia shelters(japo sio wote huingia) hivyo interception inavyofanyika sio wote watapata fursa ya kuona. Hivyo baada ya kuwa intercepted watu hurudi uraiani, hapo hakuna ateyeona. Lakini yakiwa yamepiga watu wataporudi juu watakua sehemu iliyopigwa hivyo mtu atarecord
 
Kwanini hii vita US amefeli, na hakujipanga?

1-Wameshindwa kudhibiti hali inayoendela.

2-Wameshindwa kuzuia upotevu na uharibifu wa miundombinu yao ya kijeshi mashariki ya kati.

3-Wameshindwa kulinda nchi washirika gulf states.

4-Wameshindwa kuandaa/kuhakikisha njia inakuwa salama Strait of Hormuz.

5-Wamekopa air defenses aina ya THAAD kutoka South Korea na Ukraine.

6-Hawana uhakika na vita hii itaisha lini.

7-Wameshindwa kuzuia mdororo/anguko la kiuchumi linalokuja.

8-Kimsingi, zaidi ya kuwaua baadhi ya viongozi wakuu, hawajapata mafanikio yoyote ya maana. Kushambulia airforce na jeshi la maji la Iran , hivo si vitu ambavyo Iran inategemea zaidi kivita na vyenye umuhimu mkubwa.
 
Back
Top Bottom