Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Option za wachambuzi ili hii vita iishe.
1: Us atangaze kusitisha mapigano (kufeli)
2: Lipigwe bomu la Nyuklia Iran
3: Waendelee kurushiana mabomu hadi kieleweke. Iran kwa hilo wanasema wamejiandaa kwa hilo hata wapigane miaka 10 mfululizo. Huwa wanasifika kwa uvumilivu.
4: US na IDF ashushe ground askari Kama Iraq.
Nani alikwambia bomu la nyuklia litaifanya Iran ijisalimishe? Amini nakwambia wakifanya hivo watakua wameruhusu Iran iwashangaze zaidi.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
Screenshot_20260310-010103_1.jpg
 
Back
Top Bottom