City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khorramshahr
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la khorramshahr
Kwakweli IRAN anafanywa mlemavu kwenye nyanja ya ulinzi. Raia walishaamgilia ila watakuja kustuka wanagombania maji ya kunywa ya msaada kutoka israel💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya jeshi pasdar - khoramabad. Milipuko mikubwa
Anatangaza ushindi Ili ajitoe!!?..tunajua kawaomba Iran sizifaya na wamekataa💥💥💥💥
Trump: Vita na Iran ni kama vimeshaisha
Amka ndotoni utajikojolea kitandani.Anatangaza ushindi Ili ajitoe!!?..tunajua kawaomba Iran sizifaya na wamekataa
Witkof na kushner ilikua waende TelAviv,wameghairi,sijui netanyahu kishalamba mchanga!
Sasa wkt Israel Inaendelea kupokea kipigo kizito kutoka kwa Iran na Hezbollah,Amka ndotoni utajikojolea kitandani.
Ngoja tusubiriAnatangaza ushindi Ili ajitoe!!?..tunajua kawaomba Iran sizifaya na wamekataa
Witkof na kushner ilikua waende TelAviv,wameghairi,sijui netanyahu kishalamba mchanga!