City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Wizara ya Vita ya marekani: huu ni mwanzo, hatutasitisha mpaka lengo likamilike
Wizara ya Vita ya marekani: huu ni mwanzo, hatutasitisha mpaka lengo likamilike
😄😄😄😄 Nacheka kama mazuri kmmk🇮🇷🇫🇷 The IRGC is warning France:
“If France is interested in us, we will be interested in them as well.”
😄😄😄 Na tunaambiwa Iran wana shambuliwa sana asubuhi mchana usiku lakini still bado wapo tu inashangaza sanaTuliambiwa zote zimeisha au walinunua mpya au ni taarifa ya zamani
Mimi namjua huyo vizuri sana 😄😄😄 tangu miaka hiyo ya 96 huko wakati huo wanafanya mihadhara so I know what I'm talking😃😃😃😃😃😂😃😂😃😂😃😂😂😃
Wewe bana acha utagombana na watu humu
Nionavyo mimi sina hakika ila nahisi kuna style ya maisha huko Iran ni ngumu kwa raia jambo ambalo watu wengi hatulijui. Wengi humu tunashadadia💥💥💥💥
Sakata la timu ya wanawake ya Iran kwenye michuano huko Australia, hii timu ya wanawake wa Iran iligoma kuimba wimbo wao wa taifa, hivyo Iran ikaona huu ni usaliti. Wanatakiwa kurudi Iran, walipokua njian kwenye gari iliyowabeba kuwapeleka airport baadhibya wachezaji haonwakiwa kwenye bus hilo kupitia dirishani walionyesha ishara ya kuomba msaada, ambapo watu waliokua barabarani waliweza kuelewa kilichokua kinaendelea.
Bado hawajafanikiwa kuondoleaa Australia. Kwa kauli hii ya Trump maana yake wstafanikiwa kubaki Australia au kwenda marekani.
Utakua umeanza kunifatilia sasa hivi. Endelea kutembelea hii page. Usiwe mtu wa lawama kuwa open minded
Hiki ninachoandika humu sina haja ya kuongopa sababu hakiinufaishi chochote Israel wala hakiinufaishi chochote Iran, wanaopigana huko hawapo influenced na tunayoandika na kuyajadili humu.
😄😄😄Mbona Trump anziambia meli zipite Harmoz bila kutanguliza USS Ford au Lincoln.
Ni kweli Navy ya Iran imefutiliwa mbali na mfereji uko shwari. Maana nimemoma msemaji wa jeshi la Iran anasema anakaribisha meli yoyote ambayo hairuhusiwi kupita hapo ipite.
Yaan ni kama watu hawa wajui hawa US na Israel tena kuna watu humu wamamsifu Iran anaweza kulipana mda mrefu hawajui athari zake ni kwa wakimaliza kupiga kambi za jeshi wataamia kwenye miundombinu ndio hapo sasa raia watapo igeuka serikali maana huduma za jamiii zitakuwa tabu na hichi ndio US anakitaka.Kuna watu mataahira kwel kwel kwenye hii thread! Iran kashashindwa vita kitambo! Kilichobak hapa Iran ni kugeuzwa kuwa Gaza na tayari ishaanza kuwa Gaza.
Mpaka saiv IRAN HANA NAVY,HANA AIR FORCE,70%+ YA MILITARY BASE ZIMEKUWA ERASED, ALMOST EVERYTHING IS GONE.