City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Mmmmhh sawaa ila 99% ya milipuko mikubwa from Israel
💥💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia kat
Jamaa mwongo sana huyu, bro unatumia source gani mbona hiyo milipuko mikubwa upo kwa Iran tu...adi useme upo biased ndo unaanza kutoa updates za Iran hahahaha mzee wa milikupo mkuubwaaa
SourceAskari wa Israel wanapita mitaani na kwenye majumba ya watu na kuvunja camera ili zisirekodi kambora ya Iran yanavyo piga.
Ila humu wayauzi wa tunduru wanatuambia makombora yote ya Iran yana zuiwa.
Ona hii jamaa anavyo ireport kinyonge
Kwa hiyo mkuu iran hajarusha muda huu makombora kwenda Israel?Jamaa mwongo sana huyu, bro unatumia source gani mbona hiyo milipuko mikubwa upo kwa Iran tu...adi useme upo biased ndo unaanza kutoa updates za Iran hahahaha mzee wa milikupo mkuubwaaa
Kama unamkusudia Iran basi jua ana historia ya KUDUMU NA KUVUMILIA VITA YA MIAKA NANE kuanzia 1980 hadi 1988 tena wakati huo Iran ina uchumi duni.Mkuu vita ni uchumi utambue hilo kuna mtu mwezi hauishi atakata pumzi.
Utakua umeanza kunifatilia sasa hivi. Endelea kutembelea hii page. Usiwe mtu wa lawama kuwa open mindedOna hii jamaa anavyo ireport kinyonge
Pole mkuuMmmmhh sawaa ila 99% ya milipuko mikubwa from Israel
Iran alikuwa na hamu sana ya kupelekwa moto nchini kwakeSawa dada Gift!!!