Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora idara ya intelijensia ya jeshi eneo la bahman
Screenshot_20260309-183742_1.jpg
 
Inasemekana hadi sasa hii vita anayeitawala ni Iran na anasema haiishi mpaka objective zake zitimie.
Inesemekana licha ya Trump hadharani kuongea kijasiri nyuma ya pazia kupitia third part anawaomba Iran wayamalize.
According to pro Iranian sources
Inasemekana ?
Dalili za mtu mmbea mmbea
Ni vizuri mkatulia Israeli awaonyoshe
 
Jamaa mwongo sana huyu, bro unatumia source gani mbona hiyo milipuko mikubwa upo kwa Iran tu...adi useme upo biased ndo unaanza kutoa updates za Iran hahahaha mzee wa milikupo mkuubwaaa
Pole sana mkuu
Nilifikiri utakanusha hakuna milipuko

Kumbe unakareka akisema mikubwa 😂😂😂
Anayeweza kulinganisha milipuko ni mtoa ripoti mwenyewe

Tuvumiliane TU
Haya yote lawama ni Kwa Ayatollah Khomeini
 
Kuna watu mataahira kwel kwel kwenye hii thread! Iran kashashindwa vita kitambo! Kilichobak hapa Iran ni kugeuzwa kuwa Gaza na tayari ishaanza kuwa Gaza.
Mpaka saiv IRAN HANA NAVY,HANA AIR FORCE,70%+ YA MILITARY BASE ZIMEKUWA ERASED, ALMOST EVERYTHING IS GONE.
 
Hii picha ni ya tarehe 28.02.2026.
Ila kwa sababu tunachangamsha genge iko sawa.
umeona sasa hizo ndio kutoka kwa pro Iran wanazoweka kwenye magroup telegram. Huwa Kuna pro Iran mmoja wanamsifia kuchukua habari kwake yupo twitter x, wanasema ni chanzo chao Cha kuaminika ukiacha telegram. nae kaiweka hiyo muda huu nimeangalia
Screenshot_20260309-185240_1.jpg
 
umeona sasa hizo ndio kutoka kwa pro Iran wanazoweka kwenye magroup telegram. Huwa Kuna pro Iran mmoja wanamsifia kuchukua habari kwake yupo twitter x, wanasema ni chanzo chao Cha kuaminika ukiacha telegram. nae kaiweka hiyo muda huu nimeangalia
View attachment 3555558
kwa mujibu wa google picture search inaonyesha hii picha ni ya tarehe 28 siku ya kwanza ya mashambulizi. Tena AI search
 
kwa mujibu wa google picture search inaonyesha hii picha ni ya tarehe 28 siku ya kwanza ya mashambulizi. Tena AI search
Unachosema ni sahihi kabisa, lakini ndio nakueleza jionee hihlyo habari kutoka kwa pro Iran wa kuaminika kwa habari za uhakika kaweka hiyo habari(ambayo ni ya uongo)
Kwenye telegram groups huwa wanamsifia kwa kuandika habari za uhakika za Vita, wanasema yupo Lebanon ni chanzo cha kuaminika lakini wewe sasa jionee ni kweli? Ni pro Iran mkubwa wanayemuamini
 
Pro Iran wakiweka fake wanaweka fake kwelikweli. Hiyo inaonyesha kwanza Iran hawana shabaha.
Namashaka kama unageuza upepo.

Ulimsikia Trump anasema hawana shabaha hata shule iliyopigwa Iran ilipigwa na Wairan wenyewe kwa sababu hawana shabaha.

Ila tujue tu vita hii propaganda ni nyingi ingawa pia maumivu kwa Israel licha ya kufichwa ni makubwa sana.
 
Uzuri hiyo imewekwa na wenyewe pro Iran. Si hiyo hiyo tu ipo ambayo sikuiweka na yenyewe pia inaonyesha kutolenga shabaha, lakini pro Iran waliweka
Hii iliwekwa lakini nayo ilikua off Target imepiga barabara sikuiamini. Lakini kwa pro Iran ni habari sababu anaona imetua
Screenshot_20260309-192359_1.jpg
 
Back
Top Bottom