City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la ahvaz
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la ahvaz
SawaUzuri hiyo imewekwa na wenyewe pro Iran. Si hiyo hiyo tu ipo ambayo sikuiweka na yenyewe pia inaonyesha kutolenga shabaha, lakini pro Iran waliweka
Hii iliwekwa lakini nayo ilikua off Target imepiga barabara sikuiamini. Lakini kwa pro Iran ni habari sababu anaona imetua
View attachment 3555574
Iran wana advantage kiukubwa wa jiografia,yanayotokea sasa hata 1980-1988 yalitokea.Iran ni muda gani wanatulia? Yaani kila saa vyuma vipo angani hakika wanakuta kuchokoza nyuki.
Mpaka vita iishe atakuwa hana alichobakiza.
Hizi huwa unaziona?💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Isfahan
😄😄😄Kiduku
Nyuklia zangu zinauwezo wa kupiga mahala popote marekani. Buton ya kuziruhu ninayo pembeni yangu ofisini. Vita vyangu haviishii peninsula ya Korea tu bali Marekani nzima ni target yangu.
Je Marekani sio sehemu salama tena kwa mwanadamu kuishi? Huyu Kim tunamnytolize vipi maana watu wengi visheni zetu ni siku moja na sisi tukalie mema ya nchi huko New York
1) Emerika wametuletea Ayatollah mdogo mdogo!!!
2) Tel Aviv wamejua giza totoro linafananaje!!!
He he he!!!
Vita mbaya, ndio!
Ila haya mambo mawili yamenifurahisha sana.
US biggest Millitary Facility middle East imelipuliwa leo Qatar ina ndege za kutosha.
View: https://m.youtube.com/watch?v=3tMKkaiBGss&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD
Walokole ni mapunguani.
🔥🔥😄😄 Hapo walipo hawaamini wanacho kiona wanatamani kukataza mitandao ya kijamii ipigwe ban isiwepo Tena lakini ndio hivyo Tena haiwezekani 😄😄😄Km sio mitandao ya kijamii tusingejua ukweli wa Vita vinavyokwenda,,!!
kwasasa. Kusema kweli tu kuhusu Vita kutaja Vifo unaweza nawewe kuuwawa au kufungwa ukiwa Israel!!!
Lkn mifumo ya Israel jinsi inavyoshambuliwa ndivo wananchi wataweza kuonesha ukweli wa zaidi.
Hii Vita Israeli inaenda Dondoka mazima. Muda ndio Mwalimu.
😄😄💥 'Iron Dome isn’t iron anymore' — Iran’s parliament speaker
💬 “The Iron Dome is no longer an ‘Iron Dome’; we can strike wherever we decide,” Iran’s parliament speaker Mohammad Bagher Ghalibaf stated.
He said Iran no longer needs the massive barrages seen during the 12-day war, explaining that strikes will now be fewer but more accurate and effective.
“We will launch fewer strikes but with greater effectiveness and accuracy.”
After years of boasting about an impenetrable defense system, Israel’s “shield” is actually a sieve.
Sasa sindio Unaanza na kubwa lao kwanza , halafu unakuja kumalizia na dogo DogoIla tuwe wakweli Iran ingepigana na marekani peke yake hadi sasa wangeshakimbia. Maana kati ya Israel na US US ndio kapelekewa moto na kawai kukata moto zaidi ya Israel.