Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Km sio mitandao ya kijamii tusingejua ukweli wa Vita vinavyokwenda,,!!

kwasasa. Kusema kweli tu kuhusu Vita kutaja Vifo unaweza nawewe kuuwawa au kufungwa ukiwa Israel!!!

Lkn mifumo ya Israel jinsi inavyoshambuliwa ndivo wananchi wataweza kuonesha ukweli wa zaidi.

Hii Vita Israeli inaenda Dondoka mazima. Muda ndio Mwalimu.
 
Bro usitufanye sisi kama mat*k* yako.
Nimetizama Aljazeera ripoti hiyo ililetwa Aljazeera wiki iliyopita kuhusu idadi ya majengo yaliyoharibika kufika 500.
Unazungumza na watu wanaojielewa sio watoto achaa hizo mambo!
Du hast keine Argumente, du liebst Propaganda🖕
 
Al

Al Jazeera wamefukuzwa Israel kitambo ndio chombo japo kilijitaidi uku kikiwa kwenye mashinikizo.

Lkn Waisrael Wamewatimua kabisa ndani ya Israel.!!!

So unategemea habari wapate wapi,!!!
WAZUNGU midomoni utasikia kutetea MEDIA ziwe free lkn ndani yake waongo wanafiki kinoma.!!

AZAM MEDIA walitakiwa kufuta RT. today ya Russia na CCTV ya China wkt Vita vimeanza vya Ukraine Na wenyewe wanafata Sheria za MEDIA ya ULAYA na za ndani ya Nchi

Iyo Al Jazeera nayo ivyo ivyo yenyewe inatakiwa kufata Sheria za MEDIA za ULAYA kinyume chake inafungiwa kurusha matangazo ULAYA yote+Marekan.

So hawapo free kiivyo. Japo wanajitaidi kidogo,,
Elimu ya tanzania ni zaidi ya takataka😀.. so hizi habari za Israel wanazorusha Kila siku wanazitoa wapi?
 
Nipo naangalia series inayohusu Chernobyl disaster.
Ilitokea mwaka 1986 katika nuclear power plant karibu na mji wa Chernobyl, wakati huo ikiwa sehemu ya Soviet Union.
Reactor iliyolipuka ilikuwa RBMK reactor.

Kwa hii vita inayoendelea wasije kushambuliana kwenye vinu vyao tu vya nyuklia maana matokeo yake hayatakua pazuri.
 
Nipo naangalia series inayohusu Chernobyl disaster.
Ilitokea mwaka 1986 katika nuclear power plant karibu na mji wa Chernobyl, wakati huo ikiwa sehemu ya Soviet Union.
Reactor iliyolipuka ilikuwa RBMK reactor.

Kwa hii vita inayoendelea wasije kushambuliana kwenye vinu vyao tu vya nyuklia maana matokeo yake hayatakua pazuri.

mwaka jana Israel na Marekani walipiga Natanz. Iran haikupiga Dimona
 
Hizo ni propaganda hakuna ukweli wowote, nipo naangalia Al Jazeera kwanzia 8:30 hasubuh Hadi 7:00 usiku, sijaona taarifa ya namna hio... Pro Iran mnapenda sana kusikiliza media za hovyo

Uwe unaleta na source kutoka kwenye vyanzo vya uhakika sio propaganda za kitoto
Eti ripoti zinasema 😄😄😄
Hawa jamaa hawanaga fact kabisa
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kut abdollah karun
20260309_142819.jpg
 
Back
Top Bottom