enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,624
- 9,987
Hii sio habari, it has always been like that vita vyote, wahindi wahindi, wathailand, wafilipino etc sasa hivi wanajificha kwenye subway huko.Kuna habari kutoka Israel zinasema wakazi wasio kuwa wayahudi wanazuiwa kuingia kwenye vyumba maalumu vya kujikingia mabomu.
Hawa wa Iran wajanja sana wameona isiwe tabu wamtoe mtoto wa mwenzao kafara. Kwa jinsi Israel walivyo wahuni huyu pia hana muda mrefu.💥💥💥💥
Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa supreme leader(ayatollah)
Nitajie wewe? Ila ktk kipindi hiki cha miaka zaidi ya ishirini hamna vita aliyo pigana pekee yake haipo, hii yenyewe France na UK wametoa msaada wa kambi zao zitumike.Kwani ni vita ngapi US kapigana bila NATO.
Pia ugumu wa hii vita ni upi ukitofautisha na nyingine alizowahi pigana.
Habari zake anaziokota twitter,Telegram na Facebook na footage za picha zake ni za uongo.Ivi huyu jamaa wa mlipuko mkubwa anadanganya sana japo zingine ni za kweli.kama kila anachokisema kingekuwa kweli tangu ameanza kutoa taarifa bas Iran sasa hivi ingekuwa ni majibu..huyu ni pro.
Na ana moyo,anajituma kweliHabari zake anaziokota twitter,Telegram na Facebook na footage za picha zake ni za uongo.
-Kituo cha kuzalisha umeme MG 2500 kimeteketezwa.Wewe leta porojo tuu,swali la msingi mpaka sasa Iran kaharibu nini chakumuumiza Israel na Marekani kivita au kiuchumi au hayo maghorofa ya raia kwa debris
Kwa mujibu wako lakini.Iran kwa sasa haina tofauti na silent hill
Kwenye vita ya nyuklia wanasema hakuna mshindi mzee,jifunze hilo..maana ukibonyeza unadhani na wao hawatabonyeza? What nextKiduku
Nyuklia zangu zinauwezo wa kupiga mahala popote marekani. Buton ya kuziruhu ninayo pembeni yangu ofisini. Vita vyangu haviishii peninsula ya Korea tu bali Marekani nzima ni target yangu.
Je Marekani sio sehemu salama tena kwa mwanadamu kuishi? Huyu Kim tunamnytolize vipi maana watu wengi visheni zetu ni siku moja na sisi tukalie mema ya nchi huko New York