Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kumbe unaleta ubishi kwa vitu ambavyo huvijui,haya jisomee
Hiyo habari umeitoa wapi?
Screenshot_20260308_221803_Chrome.jpg
Screenshot_20260308_221751_Chrome.jpg
sio kotezi habari yaani Congress watoe go ahead halafu bado wawabane Pentagon (DoD) kwa maswali ya kutaka kujua objective ya vita?
 
Naskiliza mawaidha ya gaidi Ayatollah khamenei apa

hilli zee sjui lilikuwaje likawashika akili watu mbna hotuba zake ni nyepesi ivi

kila maneno kumi lzm ataje
Usa
wazayuni
kafir
shaid
qoruan

huyu sidhan km hata alikuwa anasoma vitabu 😁😁😁

hili zee zero kabisa ndio maana limemaliza maisha kwa uchungu
 
USA kwa sasa anatumia silaha ambazo dunia haijawahi kushuhudia, Iran kazi anayo

wataalamu wa vita hii ni silaha ngani?
 

Attachments

  • DUNIA YA VITA___Tehran___Wadau wangu wa _dunia_ya_vita natamani sana kuwachambulia tena silaha...mp4
    2 MB
Naskiliza mawaidha ya gaidi Ayatollah khamenei apa

hilli zee sjui lilikuwaje likawashika akili watu mbna hotuba zake ni nyepesi ivi

kila maneno kumi lzm ataje
Usa
wazayuni
kafir
shaid
qoruan

huyu sidhan km hata alikuwa anasoma vitabu 😁😁😁

hili zee zero kabisa ndio maana limemaliza maisha kwa uchungu
Bangi mdalasini chumvi ya mawe choma vita ule n uchaw hata babakoo atakusikiliza
 
Hahaha naomba emoji
 

Attachments

  • 1772998798174.jpg
    1772998798174.jpg
    37.6 KB · Views: 20
Jitoe akili tuu na sasa hivi Iran kaanza kuweka launchers maeneo ya raia muda si mrefu mtaanza kutuma picha za vifo humu then Free Iran.
Jana niliwaambia Hilo kuwa ikifika wakti wanazidiwa wasianze kufanya mashambulizi wakiwa kwa maraia kwani wakumbuke USA na Israel ni wahuni sana wakti wa vita ya kumng'oa sadamu wajeda wa sadamu walianza kuwafanyia ambush wanajeshi wa muungano kutokea majumbani mwa watu basi jamaa walivyo wahuni wakawa wanatumia silaha Fulani hivi ikipiga mahala unaunguza Kila kitu Hadi mifupa na linabaki jivu TU ukilalamika kwamba jamaa kauwa na raia watataka uwaonyeshe miili ya raia hata hiyo Bomu mtawanyo jamaa washatumia miaka ya 90 huko wakti wa vita ya ghuba.ila Iran katumie leo2026 haujui jamaa walivyo advance
 
Sijakataa ila Maseneta safari wanahoji na pili vita hii ni ngumu sababu member wa NATO wote wameuchuna isipokuwa France na UK waliotoa msaada wa kambi zao kutumika. So Maseneta lazima wahoji kwani mzigo wa gharama utakuwa ni wa US peke yake, kwa vita ambayo hawaioni kuwa na faida kwa nchi yao na mpaka sasa hawaoni sababu ya US kumpiga Iran.
Kwani ni vita ngapi US kapigana bila NATO.

Pia ugumu wa hii vita ni upi ukitofautisha na nyingine alizowahi pigana.
 
Back
Top Bottom