Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Jeshi la Israel: kupitia intelijensia ya jeshi jana katika jiji la Tehran tumefanikiwa kumuua kamanda Abolqassen babaeian. Alikua mkuu wa jeshi ofisi ya kiongozi mkuu wa Iran(ayatollah office), pia alikua chief of staff wa kamandi ya khatam Al anbiya
20260308_163908.jpg
 
Kuna US Marine Scott Ritter aliye pigana vita ya Iraq,ambaye yeye kitengo chake kilikuwa cha upelelezi na kukusanya Intelegensia.

Anakwabia kwa habari na taarifa alizokuwa nazo yeye Iran alijiandaa kwa miaka zaidi ya ishirini juu ya hii vita kwani alijua katika ya list aliyopewa General Clark mkuu wa vikosi vya NATO,juu ya nchi saba zinazotakiwa kuvamiwa na yeye yumo, so alianza kujiandaa mapema sana.

Jana wawakilishi wa Pentagon (DoD) ,walibanwa na maswali kutoka bunge la Congress na walishindwa kutoa majibu.et
Eti miaka ishirini,yaani wewe unashambuliwa kwako hata kuzuia huwezi then utatoboa hata mwezi kweli?
 
Before Tehran might even consider a ceasefire, Abbas Araghchi said “they have to explain why they started this aggression.” Araghch did not specify about whom he was speaking.

Araghchi also told NBC’s “Meet the Press” that “there should be a permanent end of the war and unless we get to that, I think we need to continue fighting for the sake of our people and our security.”

He says the war “was imposed on us” by the United States and Israel, and that “what we are doing is legal acts of self-defence and we have every right to do that.”
 
🇮🇷🚨 Fars News Agency reports that Iran will no longer limit its attacks to enemy military targets, as they have now attacked civilian targets in Iran:

Change in Iran's target bank; US assets will soon be attacked

Following yesterday's attacks by the US-led coalition and the "Israeli" regime on some of Iran's infrastructure targets, an informed source announced a strategic change in our country's target bank.

This informed source stated in an interview with Fars that from now on, Iran will no longer limit its attacks to military targets and targets associated with the US and the "Israeli" regime in the region. According to this report, Iran's target bank has been fundamentally updated and now includes key assets and vital interests of the US and the "Israeli" regime throughout the region.

This strategic decision was made, according to this informed source, because the rhetoric of US and "Israeli" officials has noticeably changed since yesterday. After these regimes became disappointed in their ability to influence the will and resistance of the Iranian people, they openly adopted a threatening tone towards the Iranian nation and officially threatened the people.

It seems that the change in Iran's target bank is a decisive response to this change in tone and an attempt to put pressure on the Iranian people, and this will signal a new stage of confrontation in the region.

At present, thanks to Iran's wise management of the Strait of Hormuz, the price of oil has reached the threshold of $100 per barrel.

Change of strategy sasa hivi na wao wanaanza kuteketeza vitu tofauti na vya kijeshi.
 
Eti miaka ishirini,yaani wewe unashambuliwa kwako hata kuzuia huwezi then utatoboa hata mwezi kweli?
Hao Hamas na silaha za kuungaunga walitoboa zaidi ya mwaka,Iraq miaka almost tisa na uwezo wao wa kijeshi ulikuwa wa kawaida.Vita sio sindimba huyo Scott Ritter alikuwa kwenye uwanja wa vita na anajua sayansi ya vita na kwa kuongezea kutokana na experience yake ,US ktk historia ya vita hii ndio vita ambayo itaenda kumdhalilisha hata kama akishinda.
 
Iran's Mullahs in Panic Mode: Delaying New Leader Pick as Trump Vetoes Khamenei's Son

The cowardly Islamic regime in Tehran is stalling on naming a successor to the late Ayatollah Ali Khamenei—wiped out in decisive US-Israeli strikes—because they're terrified the next guy becomes an instant target for American and IDF precision justice.

President Trump just dropped the hammer: Mojtaba Khamenei, the lightweight son angling to inherit daddy's throne, is flat-out unacceptable.

"Everybody that seems to want to be a leader, they end up DEAD!" Trump warned, making crystal clear that radical clerics need not apply.

Iran's delay screams weakness—the mullahs know any name they announce could vanish in a fireball. No more psycho theocrats dragging the region into chaos.

Time for unconditional surrender. End the regime. Bring real peace to Iran—and the world. 🇺🇸💥🇮🇷
 
🇺🇸🇮🇱JASUSI ESMAIL.

Na baada ya kumaliza kazi yake ya ujasusi vyema Commander Esmail Qaani kwa kusababisha vifo vya wale viongozi wa zamani wa Hamas kama Ismail Haniyeh ,Na wa Hezbollah Nasrallah na Safieddine na Ali Khamenei Ayatollah na pia ma jenerali wa juu wa jeshi la IRAN, Basi Commander huyu kwa sasa amerudi Israel akiwa salama Salmini hata hivyo aliaminiwa sana na serikali ya Iran ila kumbe alikuwa ni Mossad na unaambiwa sio yeye tuu peke yake wapo wengi wakifanya kazi za Mossad kwenye Mataifa mabalimbali ambayo yanatiliwa mashaka na Israel.
I told you.
 

Attachments

  • 1772990267716.jpg
    1772990267716.jpg
    96.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20260308-201601_Lite.jpg
    Screenshot_20260308-201601_Lite.jpg
    181 KB · Views: 14
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
 
Kama kawaida, mikwara inaendelea!!!!!!


An Iranian military source told RT that Tehran is preparing to “surprise” US President Donald Trump with several major developments on Monday.

The source said, warning that the coming days could become more difficult for both the US and Israel.

16:04 GMT


 
SUNDAY MORNING DECLARATION

Psalm 118:24 – “This is the day which the Lord hath made; we will rejoice and be glad in it.”

DECLARATIONS:
1. Heavenly Father, I thank You for the gift of this new Sunday and for the breath of life.

2. I declare that today is blessed, ordered, and filled with the presence of the Lord.

3. My heart is open to worship, to receive the Word, and to align with God’s purpose.

4. Every heaviness, distraction, and spiritual dullness is lifted from my spirit.

5. I receive fresh grace, fresh strength, and renewed faith today.

6. My family is covered by divine peace and we gather under God’s favor.

7. This Sunday releases renewal, clarity, and visible blessings in the name of Jesus Christ.

AMEN.

Pastor Daniel Okpara

............

GDNYT

NIGHT DECLARATION

Proverbs 2:6 – “For the Lord giveth wisdom: out of his mouth cometh knowledge and understanding.”

DECLARATION
1. Heavenly Father, I thank You for Your wisdom that has guided me throughout this day.

2. I declare that tonight my mind is settled and my spirit is open to divine understanding.

3. Every confusion, mental pressure, and hidden deception is removed from my life.

4. I receive wisdom from the Lord for every decision that lies ahead of me.

5. My thoughts are aligned with truth, clarity, and sound judgment.

6. My family is preserved from error and directed by divine insight.

7. I close this day in peace and rise tomorrow with greater wisdom and strength in the name of Jesus Christ.

AMEN.

Pastor Daniel Okpara
 
Kwani kutangaza kushindwa unalipia bei gani?

Hata ikiwa ni kiasi gani cha kulipia, kwani Iran atakosa kiasi hicho?

Viongozi wakuu wote wamelamba mchanga, nchi inaendelea kuteketezwa, wanangoja nini kutangaza kushindwa?
 
🇺🇸🇮🇱JASUSI ESMAIL.

Na baada ya kumaliza kazi yake ya ujasusi vyema Commander Esmail Qaani kwa kusababisha vifo vya wale viongozi wa zamani wa Hamas kama Ismail Haniyeh ,Na wa Hezbollah Nasrallah na Safieddine na Ali Khamenei Ayatollah na pia ma jenerali wa juu wa jeshi la IRAN, Basi Commander huyu kwa sasa amerudi Israel akiwa salama Salmini hata hivyo aliaminiwa sana na serikali ya Iran ila kumbe alikuwa ni Mossad na unaambiwa sio yeye tuu peke yake wapo wengi wakifanya kazi za Mossad kwenye Mataifa mabalimbali ambayo yanatiliwa mashaka na Israel.
I told you.
Haya ndio mafuta unayo tumia kujipodoa !?
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=Cvy5fdI8XQM
Maseneta bado wanawaweka kikaaongoni Pentagon (DoD),wanawauliza nani amezuia saada wa silaha kwa ukraine? Mpaka sasa hao DoD hawajui wamerusha Mesile ngapi Iran, yaani jamaa hajui hata idadi inaonekana mengine wamejirushia baada ya kupanic.

Russia sasa hivi anatulia na yeye anamchosha US,kwa kumpa Iran Intelegensia juu ya zilipo silaha,kambi,radar na resources nyingine za US.
 
Back
Top Bottom