Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Huko kansas kuna nn tena
Unataka Pellekea wairan amaHaya ndio mafuta unayo tumia kujipodoa !?
Unavyoandika utafikiri hii ndio vita ya kwanza kwa marekani.Hao Hamas na silaha za kuungaunga walitoboa zaidi ya mwaka,Iraq miaka almost tisa na uwezo wao wa kijeshi ulikuwa wa kawaida.Vita sio sindimba huyo Scott Ritter alikuwa kwenye uwanja wa vita na anajua sayansi ya vita na kwa kuongezea kutokana na experience yake ,US ktk historia ya vita hii ndio vita ambayo itaenda kumdhalilisha hata kama akishinda.
Sijakataa ila Maseneta safari wanahoji na pili vita hii ni ngumu sababu member wa NATO wote wameuchuna isipokuwa France na UK waliotoa msaada wa kambi zao kutumika. So Maseneta lazima wahoji kwani mzigo wa gharama utakuwa ni wa US peke yake, kwa vita ambayo hawaioni kuwa na faida kwa nchi yao na mpaka sasa hawaoni sababu ya US kumpiga Iran.Unavyoandika utafikiri hii ndio vita ya kwanza kwa marekani.
Hao wameshazoea vita mkuu,
Nchi yenyewe imepatikana kwa vita.
Hii ni kweli hadi Al Jazeera akiweka🔥💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shokuhuiyeh - Qom. Milipuko mikubwa sana
Wamemuwekea viungo wengi katikati lazima apoteaneHii Vita ishakosa ladha Sasa
Magaidi ya Iran yanabondwa wao tu
Hawana central commanding kila anayeshiba futari anaanza kurusha tu mapenseli yao🤣Wamemuwekea viungo wengi katikati lazima apoteane
Wewe hamnazo,wanahoji na hoja ilipelekwa mpaka Senate hao Democratic mashoga wakashindwa au hujui hili?Sijakataa ila Maseneta safari wanahoji na pili vita hii ni ngumu sababu member wa NATO wote wameuchuna isipokuwa France na UK waliotoa msaada wa kambi zao kutumika. So Maseneta lazima wahoji kwani mzigo wa gharama utakuwa ni wa US peke yake, kwa vita ambayo hawaioni kuwa na faida kwa nchi yao na mpaka sasa hawaoni sababu ya US kumpiga Iran.
Wewe hamnazo,wanahoji kivipi na hoja ilipelekwa mpaka Senate hao Democratic mashoga wakashindwa au hujui hili?Sijakataa ila Maseneta safari wanahoji na pili vita hii ni ngumu sababu member wa NATO wote wameuchuna isipokuwa France na UK waliotoa msaada wa kambi zao kutumika. So Maseneta lazima wahoji kwani mzigo wa gharama utakuwa ni wa US peke yake, kwa vita ambayo hawaioni kuwa na faida kwa nchi yao na mpaka sasa hawaoni sababu ya US kumpiga Iran.
Sasa wewe mbonde unayeshindia mihogo dunia ya tatu,unajua kuliko hao Maseneta,yaani wewe kiazi uwe unajua kuliko Maseneta? Weka reference walipo shindwa maana huu mjadala ni wa jana?Wewe hamnazo,wanahoji na hoja ilipelekwa mpaka Senate hao Democratic mashoga wakashindwa au hujui hili?
Shusha nukuu.Hii Vita ishakosa ladha Sasa
Magaidi ya Iran yanabondwa wao tu
Hao akina otieno wakaoshe vyombo tuSasa wewe mbonde unayeshindia mihogo dunia ya tatu,unajua kuliko hao Maseneta,yaani wewe kiazi uwe unajua kuliko Maseneta? Weka reference walipo shindwa maana huu mjadala ni wa jana?
Kumbe unaleta ubishi kwa vitu ambavyo huvijui,haya jisomeeSasa wewe mbonde unayeshindia mihogo dunia ya tatu,unajua kuliko hao Maseneta,yaani wewe kiazi uwe unajua kuliko Maseneta? Weka reference walipo shindwa maana huu mjadala ni wa jana?