City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la toosi dock-chabahar
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la toosi dock-chabahar
Naona walikua hapo hapo middle east ila haijafahamika ni sehemu ipi waliochukuliwa.Askari walikuwa nchi gani hao?