Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Takwimu za Iran kurusha makombora

Day one makombora 120
day two makombora 70
day three makombora 320
day four makombora 25
f
day five makombora 20
day six makombora 15


ukweli utajulikana tu 😁😁😁
Ukiripoti kutoka kanisa la
🇺🇸🇮🇱JASUSI ESMAIL.

Na baada ya kumaliza kazi yake ya ujasusi vyema Commander Esmail Qaani kwa kusababisha vifo vya wale viongozi wa zamani wa Hamas kama Ismail Haniyeh ,Na wa Hezbollah Nasrallah na Safieddine na Ali Khamenei Ayatollah na pia ma jenerali wa juu wa jeshi la IRAN, Basi Commander huyu kwa sasa amerudi Israel akiwa salama Salmini hata hivyo aliaminiwa sana na serikali ya Iran ila kumbe alikuwa ni Mossad na unaambiwa sio yeye tuu peke yake wapo wengi wakifanya kazi za Mossad kwenye Mataifa mabalimbali ambayo yanatiliwa mashaka na Israel.
I told you.
Eti i told you na mipicha yako ya AI,huyo tangu 2024 kelele ni hizihizi kuwa ni shushushu wa Israeli Iran wanakuwa kimya halafu baadae huwa anaonekana kwenye actions akiendelea kutoa kichapo,kaanza kushutumiwa hivyo tangu 2018 huko na mwaka 2024 stori kama hii yako iliyembea sana lkn baadae akaonekana na Hizzbollah akitoa maelekezo na baadae akarudi Iran kama kawaida.
 
Nyani weusi wa kiyahudi wamefundishwa kabisa kukanusha na wayahudi kuwa kila mjengeo unaoonyesha mvua ya makombora waseme ni AI
Kweli wazayuni wanajua kushika akili za kigalatia hata kama ndio wao walomuua yesu na wanamkana mpaka leo
Muda utaongea na yule mwehu trump kuna siku atalopoka kama ilivyokuwa June 25

View: https://www.facebook.com/reel/799598252611754
 
1773013166427.png
 
Back
Top Bottom