Air defense sio issue, elewa tu stealth hata kwa radar ya mwaka 1947 inaonekana endapo Iran ikipata intel na kuamua ku tune frequency za radar za chini.
Low frequency huwa zinaona stealth. Hata F-117 iliyopigwa kule Yugoslavia, ilipigwa na S-125, hizo S-125 ndizo hizo unaona Tanzania tunazitumia kama air defenses.
F-117 ulishaiona hata kwenye picha? inataka fanana na B-2, nadhani .
B-2 ilitengenezwa na Northrop Grumman na F-117 walitengeneza Lockheed.
F-117 ilipigiwa sana chapuo enzi hizo 1990s , ilipigwa ikaanguka. Hizo ideas zote .
Kuhusu F-15, hizo ndege kwanza sio stealth, lakini ndio ndege inabeba mzigo mzito zaidi kuliko ndege yeyote ya kivita(fighter jet) , kuanzia F-22, F-35, F-16, F-18 Hornet n.k...
Hizo F-18 zimekuja replace F-14 Tomcat, F-14 Tomcat zilikuwa out of service 2006, tokana na gharama ya uendeshaji halafu ni kubwa kiumbo, zilitengenezwa mahususi kwa kufanya ulinzi wa meli za kivita baharini.
F-15 ndio ndege Israel wanatumia kama bombers, hivyo kwa hii vita Israel na US wanaihitaji sana F-15E, maana inaweza beba cruise missiles nzito sana hadi tani 2...
Hii ndege inaweza achia missiles kama delilah ikasafiri zaidi ya kilomita 200 kupiga target huku wakati huo imeshageuka inarudi base na cruise missiles inaelekea kwenye target.
F-15 si ndege nzuri kwa air superiority, ikiingia hovyo inapigwa hata na Mig ya kawaida... maana ilitengenezwa kufanya deep penettration au stand off strike, kushambulia ikiwa mbali.
Lakini ikijisogeza hovyo kwenye target za Iran inaliwa kichwa.
Hivyo usije shangaa B-2 kuingia kwenye 18 ikaliwa kichwa, ndivyo vita vilivyo.