MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Sasa umeanza uchokoziMimi hamdala kutoka msikiti wa mchamba wima nmepewa tangazo nililete kwenu na imamu wetu kua babu ayatolla hajafa alizimia
UpiSasa umeanza uchokozi
Mkuu hapo mahaba yapo wapi? Unaamini Iran wanaweza kufanya huo utoto alioandika huyo mwandishi?Punguza mahaba Mkuu.
Ila Iran anavyopiga meli za kiraia zikizobeba mafuta unaona sawa? Ngoja niishie hapa.Sio drone za MQ-o na Hermes 900.
Hizo mkuu zinapaa kwa higher altitude gobore halifiki huo umbali.
Hakuna cha bikra kwa magaidi.Waislam walaikum ndug zang ktk Iman
Naleta tangazo la huzuni
kamanda wa cheo Cha juu wa jeshi la wanamapinduzi jion ya leo amekufa shahid chini ya mikono ya mazayuni
tumwombe molaa wetu amjalie ktk wale mabkira walionona na wenye macho makubwa ili aifaidi pepo😋
Amini imamu husein ampokee😁