Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel wanasema Iran imerusha makombora saba ving'ora vimeelia. Sijui wamesahau 0 ? Sio 70 kweli?
 
☠️ Apocalyptic scenes from Lebanon after Israeli strikes

Footage from social media shows widespread destruction in Al-Nabi Shayth in the Bekaa Valley, Eastern Lebanon.

The two Israeli airstrikes resulted in 16 civilian casualties, with 35 people wounded, Lebanese Ministry of Public Health reports.
Hawa wameyataka wenyewe. Ila Iran ana haki zote za kujilinda kwa nguvu zote.
 
Mkuu jamaa City Thunder OKC anasema na kaleta ushahidi ndege zinatoka na kutua Tel aviv, wewe unasemaje?
Unaweza ukaleta video na ikawa out dated sio updated.
Mie nimetizama video updated ya leo hii huyo jamaa anarekodi na kurusha live.
Msiba wangu ni simu haina uwezo unaohitajika.
Ila nendeni mkamtafte huyo jamaa
 
Hii hakuna mtaalam wa vita aliisema hii mbinu humu?
Ona mambo yalivyo. Huyo ni mwandishi anasema ni mchambuzi wa geo politics lakini ameshindwa kutambua gemini photos

Bado sielewi kwa washabiki, mtu akiongopa Iran inapigwa sana wakati haipigwi hiyo inawaathiri vipi Iran?
Au mtu akisema Israel inapigwa sana wakati haipigwi hiyo inaathiri israel?

Wameshindwa kuelewa hiki tunachoandika hapa hakiwanufaishi au kunyongesha wanaopigana huko, ndio maana sioni sababu ya mtu kutumia sana uongo
 
Punguza mahaba Mkuu.
 
Back
Top Bottom