Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

MLIPUKO MKUBWA SANA, BORA MAGAIDI WAOMBE TUU MSAMAHA TRUMP NI MUELEWA ATAWASAMEHE
Magaidi waombe po kwa kweli.

Mashabiki wa Iran humu ndani wanamsemwa City Thunder OKC kuwa analeta habari za Upande mmoja wakati Iran kwa siku wanarusha makombora 20 tu, wakati Israel na Marekani kwa siku wanarusha makombora zaidi ya 100
 
Magaidi waombe po kwa kweli.

Mashabiki wa Iran humu ndani wanamsemwa City Thunder OKC kuwa analeta habari za Upande mmoja wakati Iran kwa siku wanarusha makombora 20 tu, wakati Israel na Marekani kwa siku wanarusha makombora zaidi ya 100
Watu wanapaswa kuelewa hata makombora Tehran yakirushwa haimaanishi kuwa lazima yatapiga. Yanaweza yote kuwa intercepted

Leo Iran imerusha makombora yamekua intercepted. Kwa juzi jana na leo waliporusha ilikua low barrage. Vita bado ipo, tusubiri walianza tena kurusha kwa wingi kama mwanzo
 
Watu wanapaswa kuelewa hata makombora Tehran yakirushwa haimaanishi kuwa lazima yatapiga. Yanaweza yote kuwa intercepted

Leo Iran imerusha makombora yamekua intercepted. Kwa juzi jana na leo waliporusha ilikua low barrage. Vita bado ipo, tusubiri walianza tena kurusha kwa wingi kama mwanzo
na umekuwa fair sana.

Jamaa wanataka useme uongo kama zungu.
 
na umekuwa fair sana.

Jamaa wanataka useme uongo kama zungu.
Juzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa macho
Hata hivyo Iran hawawezi kabisa kufanya huu utoto
Screenshot_20260307-180638_1.jpg
 
Secunder Kermani international affairs correspondent mtafteni huyu jamaa.
Amerusha video yale makombora yaliorushwa na kuna MAFALA WANASEMA YAMEKUWA INTERCEPTED WAONGO.
CENTRAL ISRAEL IMEKUA GROUNDED HUKO WATU WANAKUSANYA MAITI.
SECUNDER KERMANI AMERUSHA VIDEO.
HAO PRO ISRAEL WASIWADANGANYE ISRAEL UWEZO WA KUDUNGUA PRECISION MISSILES HAWANA ASAHIVI.
HATA NORTH ISRAEL HIZBOLLAH INAWAFUMUA VIBAYA.

NA HUYU KERMANI HAWAWEZI KUMKAMATA MAANA NI FOREIGN AFFAIRS CORRESPONDENT.
 
Ogopa matapeli anayekwambia "intercepted TAPELI MKUBWA"
International correspondent anawaumbua huko na channel yake ya CHANNEL 14 NEWS.
Sooner if not soonest sidhani kama Israel itaweza ku contain mashambulizi tena.
Iran anatumia cluster munitions zina split 80 munitions kwa kombora moja.
Mtafteni huyu jamaa awape uhondo.
 
✡️ Israel’s getting pummelled, banning info on its defeats — former US officer

💬 "They [Israel] are getting absolutely pummelled. I think [Netanyahu is] on a plane 90% of the time… He’s flying around the Mediterranean. He's staying out of the fray as best he can, because he knows that he is the number one target," retired US colonel Lawrence Wilkerson says.

Iran manages to damage Israeli cities, he adds, noting that fewer and fewer of the IDF interceptors are being used to stop the Iranian missiles, but Israel imposes tight censorship to hide it.
 

Attachments

  • VID_20260307_182619_342.mp4
    757 KB
Huyu mzee alikua very humble sana, Apumzike kwa amani.

🗣 Khamenei limited Iran’s missiles range, now this may change — Marandi

"There was a time when, on the battlefield, in terms of munitions, we could produce only two types of artillery shells. Now our ballistic missiles can reach from long distances — about 2,000 km. I myself said 2,000 km; otherwise, they wanted to extend it to 4,000-5,000 km. I did not allow it," Ayatollah Khamenei said in footage shared by Iranian expert Mohammad Marandi.

After his assassination the imposed restrictions may no longer be applied, Marandi adds.

"Trump made a big mistake," the analyst concludes.
 

Attachments

  • VID_20260307_182753_511.mp4
    4.5 MB
❌Bunkers don’t hold, sirens don’t work — Indian journalist shares truth on Israel’s civil defense

"And these were just things people say, that bunkers [in Israel] are very good. We saw that people died in 100-foot deep bunkers there, and you are not being told the reality of what’s happening… And when an incident happens, we don’t even know what the location is," an Indian journalist who visited Israel during the ongoing war says.

Israeli safety tech is also not as good as it’s claimed to be, he notes — in several cases an attack occurred with no alarm sounding in advance.
 
Back
Top Bottom