Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Juzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa macho
Hata hivyo Iran hawawezi kabisa kufanya huu utoto
View attachment 3554354
Huyo alimbishia trump kua ayatolla hajafa
 
Secunder Kermani international affairs correspondent mtafteni huyu jamaa.
Amerusha video yale makombora yaliorushwa na kuna MAFALA WANASEMA YAMEKUWA INTERCEPTED WAONGO.
CENTRAL ISRAEL IMEKUA GROUNDED HUKO WATU WANAKUSANYA MAITI.
SECUNDER KERMANI AMERUSHA VIDEO.
HAO PRO ISRAEL WASIWADANGANYE ISRAEL UWEZO WA KUDUNGUA PRECISION MISSILES HAWANA ASAHIVI.
HATA NORTH ISRAEL HIZBOLLAH INAWAFUMUA VIBAYA.

NA HUYU KERMANI HAWAWEZI KUMKAMATA MAANA NI FOREIGN AFFAIRS CORRESPONDENT.
Mkuu niseme intercepted wakati hayajawa intercepted ili nipate faida gani?
Tel Aviv uwe grounded alafu commercial flight ziendelee kama kawaida kuingia na kutoka?
Screenshot_20260307-182730_1.jpg

Mkuu tel aviv iwe grounded alafu kuwepo na arrivals kutoka mataifa mengine?
Screenshot_20260307-182942.png
 
JUST IN: 🚨🇺🇸🇮🇷

CNN compares eerily similar US official statements during first week of Iraq war vs Iran war.
 
Attachments

  • VID_20260307_183736_204.mp4
    484.5 KB
BREAKING: 🚨🇺🇸🇮🇷🇮🇱

Scenes from Tehran, Iran after a US Israeli strike against a government building.
 
Attachments

  • VID_20260307_184036_257.mp4
    1 MB
  • VID_20260307_184034_164.mp4
    778.3 KB
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora kaskazini mashariki mwa Tehran
 
Secunder Kermani international affairs correspondent mtafteni huyu jamaa.
Amerusha video yale makombora yaliorushwa na kuna MAFALA WANASEMA YAMEKUWA INTERCEPTED WAONGO.
CENTRAL ISRAEL IMEKUA GROUNDED HUKO WATU WANAKUSANYA MAITI.
SECUNDER KERMANI AMERUSHA VIDEO.
HAO PRO ISRAEL WASIWADANGANYE ISRAEL UWEZO WA KUDUNGUA PRECISION MISSILES HAWANA ASAHIVI.
HATA NORTH ISRAEL HIZBOLLAH INAWAFUMUA VIBAYA.

NA HUYU KERMANI HAWAWEZI KUMKAMATA MAANA NI FOREIGN AFFAIRS CORRESPONDENT.
Mkuu jamaa City Thunder OKC anasema na kaleta ushahidi ndege zinatoka na kutua Tel aviv, wewe unasemaje?
 
Juzi nilisoma kwenye page yake akisema Iran, imetoa hii taarifa kuwa ilichora chinj mfano wa ndege ili kuwachanganya israel. Kitu ambacho ni cha uongo kabisa, Iran hawajawahi kusema kabisa kitu kama hichi. Iran hawawezi kutoa taarifa ya kitoto kama hii. Jet inawezaje kudetect kivuli Cha chini na kuhisi ni ndege? Hata huyu mwandishi ameshindwa kujua kuwa shambulizi la jet halifanywi kwa macho
Hata hivyo Iran hawawezi kabisa kufanya huu utoto
View attachment 3554354
Hii hakuna mtaalam wa vita aliisema hii mbinu humu?
 
Back
Top Bottom