City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Yamekua intercepted
Yamekua intercepted
Sawa.Ndio mkuu yamekua intercepted.
😄Ebu pumzika mzee! We unatoa habari za upande mmoja tu,tumekuchoka unajua! Unazingua!
Huyo kafa shahed kwa mujibu wa dini yao, makamanda wengine hapo wanataka na wao wafe kama yeye...💥💥💥💥
Kamanda wa jeshi la Iran (Tehran FRJA) Abbas Ali mohammadian ameuwawa
View attachment 3554290
Ngoja tusubiri mkuuHuyo kafa shahed kwa mujibu wa dini yao, makamanda wengine hapo wanataka na wao wafe kama yeye...
Ambacho wengi hawajui, waislamu mwezi huu wa ramadhani kufa kama hivyo kama yupo kwenye funga na amekufa akiwa kwenye mapambano ina maana amekufa shaheed. Hapo hakuna hata uzuni baina yao.
na yakizuiliwa tunasema ni decoyTunasubiri useme yamekuwa intercepted..
atakwambia ni decoyNdio mkuu yamekua intercepted.
Ni kwa ajili ya ku deplet interceptors...na yakizuiliwa tunasema ni decoy
Ni kwa ajili ya kuchosha air defenses na kumaliza interceptors walizonazo..atakwambia ni decoy