King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Hermes ilikuwa inajiandaa kuachia makombora...Iranian air defenses have shot down an Israeli Hermes-900 drone over the coast of Hormozgan, with its missile payload still intact.
👆👆 kuna watu walisema marekani na Israeli wamelishika anga la irani.
Bado hawajasema🤣
Siraha zao hua zinabei kubwa lakini zikiwa vitani ni vituko.Hermes ilikuwa inajiandaa kuachia makombora...
Hizi drones zimepigwa sana.. moja wanauza 18-20 million USD..
Ni biashara, US inajitengenezea billions of money kwenye biashara ya silaha.. ni moja ya biashara inakuza uchumi wao..Siraha zao hua zinabei kubwa lakini zikiwa vitani ni vituko.
Ila kobazi akili zenu mnazijua wenyeeweTrump ni mfu huyo! Hana mwezi hatunaye! Kama si yeye Netanyau.....nyota zao naona hapa zimefutika.
Tunasubiri useme yamekuwa intercepted..
Ndio mkuu yamekua intercepted.Tunasubiri useme yamekuwa intercepted..