City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Wanachosema mtu wao yoyote akifa nje ya mipaka yao hata ipite miaka 100 watamtafuta alipozikwa na kuchukua mabaki yakeMabaki mtu kazikwa 1980 wanapeleka wapi?
Hao jamaa ka kutunga story za kipuuzi na ujinga hawajambo..
Statement ya hezbullah inathibitisha kweli walikua na lengo hilo ndio maana walisubiri wafike makaburini wawafanyie ambush. Walikua paratroopers wanne, ka isingekua support ya anga basi walikua wameshawawahi. Hezbollah waliweka mtego, lakini vikosi vya anga ndio vilikuja kuwapa support.
Waliokua wakishuhudia wanasema Hezbollah watatu wamefariki, japo hezbullah hawajathibitisha Kama wamepatwa na vifo