Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sasa Israel na US mpango wao wa kupeleka ground forces ni kama unakufa..
Kurds wengi wamekataa kuisaidia Israel, na nadhani sababu kubwa ni yale Israel imefanya Gaza, japo Kurds wao wanasema wameshatumika sana na West lakini linapokuja suala lao kuwasaidia wapate nchi yao hawawasaidii..

Halafu kingine vikundi vingi hapo Iraq ambavyo vilikuwa havina nguvu kupiga kambi za US, hivi sasa wanatumia fursa... Nimeona hadi US base wametumia apache helicopter kupambana na hao jamaa...

Wakikaza hapo, kutakuwa hakuna namna bali kukimbia kambi, waa secure eneo na kutafuta extraction point then wana ruka na ndege..

Pia IRGC wanaweza ingia hapo Iraq..
Ground force mbona anaenda kujichimbia kaburi... Zaidi ya 50% ya eneo la Iran ni milima, mabonde na misitu mwenye audacity Jeshi lake hapa kuivamia Iran, atakua Hana akili vizuri.
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la Qarchack Tehran
Screenshot_20260307-141159_1.jpg
 
Baada ya kurizika na kujilizisha kwamba kambi nyingi za US ,hazina nguvu ya kuendesha mashambulizi baada ya kuziripua. Iran kawaambia majirani zake wa Middle East hatozishambulia nchi zao tena naona yeye nguvu anaelekeza kwa Myahudi na US.

View: https://m.youtube.com/watch?v=aHYjPmaEvPE

Hii ina maana Iran ameshakamilisha phase 1, ambayo ilikuwa kuua mfumo wa early warning radars, na sasa anaingia phase nyingine ambayo ni kumaliza interceptor za Israel..

Kumbuka hili linakuja baada ya US kuiomba Ukraine ipeleke wataalamu wa kudungua shahhed drones..

Ina maana Ukraine hawatoenda..
 
Sasa Israel na US mpango wao wa kupeleka ground forces ni kama unakufa..
Kurds wengi wamekataa kuisaidia Israel, na nadhani sababu kubwa ni yale Israel imefanya Gaza, japo Kurds wao wanasema wameshatumika sana na West lakini linapokuja suala lao kuwasaidia wapate nchi yao hawawasaidii..

Halafu kingine vikundi vingi hapo Iraq ambavyo vilikuwa havina nguvu kupiga kambi za US, hivi sasa wanatumia fursa... Nimeona hadi US base wametumia apache helicopter kupambana na hao jamaa...

Wakikaza hapo, kutakuwa hakuna namna bali kukimbia kambi, waa secure eneo na kutafuta extraction point then wana ruka na ndege..

Pia IRGC wanaweza ingia hapo Iraq..
Kambi za USA Erbil are no more.
Iraq hizbollah washazifyeka.
Ukiachana na kurdi kukataa vikundi vya uasi vimeomba kujiunga na IRGC yote ni SABABU YA KIDINI.
Nilisisitiza mimi,hakuna kosa baya kama kugusa kiongozi wa kiitikadi wa SHIA.
Kwa itikadi yao ni sawa na kumuua Ally ama Hussein.
 
Yaah hii habari ya kweli na ni makomando wa Hisbolah waliwafanyia ambush wanajeshi wa Kiyahudi kwenye kambi yao iliyo karibu na border ya Lebanon.
Mkuu ungesoma hata statement ya hezbullah ungeelewa kilichotokea. Unamislead watu

IDF walienda kuvamia eneo huko Lebanon, wakitokea uelekeo wa Syria. Baada ya kuingia kwenye vijiji huko wlikua wakenda eneo la makaburi(kutafuta mabaki ya mwenzao ambae aliuwawa miaka ya 1980,s)
Hapo ndio hezbullah wakakutana nao, ikapigwa ambush wakapelekeana sana moto. IDF walikua na support ya jeshi la anga, hivyo likafanya mashambulizi yawe makubwa na kufanikiwa kuwaondoa paratroopers wao walikua chini
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini mashariki mwa Isfahan
20260307_143913.jpg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora makao.makuu vya vikosi vya basij - beheshti
20260307_144113.jpg
 
Mkuu ungesoma hata statement ya hezbullah ungeelewa kilichotokea. Unamislead watu

IDF walienda kuvamia eneo huko Lebanon, wakitokea uelekeo wa Syria. Baada ya kuingia kwenye vijiji huko wlikua wakenda eneo la makaburi(kutafuta mabaki ya mwenzao ambae aliuwawa miaka ya 1980,s)
Hapo ndio hezbullah wakakutana nao, ikapigwa ambush wakapelekeana sana moto. IDF walikua na support ya jeshi la anga, hivyo likafanya mashambulizi yawe makubwa na kufanikiwa kuwaondoa paratroopers wao walikua chini
Mabaki mtu kazikwa 1980 wanapeleka wapi?
Hao jamaa ka kutunga story za kipuuzi na ujinga hawajambo..
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora makao makuu ya vikosi vya basij - behesht
20260307_144244.jpg
 
Mkuu ungesoma hata statement ya hezbullah ungeelewa kilichotokea. Unamislead watu

IDF walienda kuvamia eneo huko Lebanon, wakitokea uelekeo wa Syria. Baada ya kuingia kwenye vijiji huko wlikua wakenda eneo la makaburi(kutafuta mabaki ya mwenzao ambae aliuwawa miaka ya 1980,s)
Hapo ndio hezbullah wakakutana nao, ikapigwa ambush wakapelekeana sana moto. IDF walikua na support ya jeshi la anga, hivyo likafanya mashambulizi yawe makubwa na kufanikiwa kuwaondoa paratroopers wao walikua chini
Kuwaondoa au wao ndio ndio waliondoka baada kupata msaada wa wenzao.

View: https://m.youtube.com/watch?v=WWRoPw4LwNk&pp=0gcJCY4Bo7VqN5tD
 
Back
Top Bottom